Israel yashambulia makao makuu ya viongozi wa Hamas nchini Qatar

 
Shambulizi la Leo USA, Qatar wote wapo nyuma yake
 
Warning ya Trump juzi warudishe mateka wote na hakuna mazungumzo zaidi ndiyo hiyo. Jana Netanyahu alisema anamaliza kiini cha mgogoro, kwa hiyo US na Israel wamehusika wote maana hata air defence zao wamezima
Yale yale ya Iran mnaalikwa kwenye majadiliano kumbe kuna ajenda fiche .

Hapo Israel ameua negotiation team yote maana yake hakuna ceasefire na ground operations zinaendelea kuifuta Gaza
 
Saudi
Kuwait
Iraq
Hao wote wameruhusu hili litokee, maana Israel asingefika Qatar bila kupita Saudi, Kuwait.

Qatar kaamua wachoma tu maana wao kila pendekezo hawataki

Israel hana hypersonic land launched hivyo F35 zimeenda
 
Ila huu mchezo wanaoufanya iko siku utawarudia maana watu hujifunza kutokana na makosa.
 
Iran iliposhambulia US base in Qatar serikali ya Qatar ilisema ni sawasawa na kuishambulia Qatar kwani imeingilia mipaka ya Qatar.

Israel kawashambulia Qatar, serikali ya Qatar inasema Israel imeshambulia viongozi wa Hamas.

Hawa waarabu muda si muda mziki unawaangukia wao. Na siku ukiwaporomokea hakuna ambaye atakayewasaidia kwa unafiki waliyouonesha dhidi ya Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…