T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Erdogan huwa muongeaji sana ila vitendo kidogo kwenye Palestinian cause. Wakienda kule labda pressure ya Marekani au NATO, otherwise Israel hana uwezo wa kushambulia target ndani ya Uturuki.Next stop ni Turkey maana Erdoğan anapiga mdomo sana acha nae afikiwe tutaona kweli ni mdomo tu au nae anaweza jitikisa kama Iran
Waambie hawa waislamu wa mwanarumango! Wao kazi yao ni ushabiki wa kipumbavu tu, wakati geopolitical issues in relation to Muslim Brotherhood hawazijui. Kazi yao kufurahia tu misaada ya waarabu na waturuki bila kujua kuwa nyuma ya pazia kuna Agenda za Muslim BrotherhoodJuzi magaidi wa hamas walikutana na magaidi wa iran, chini ya muongozaji wao alie katika kificho aitwaye "muslm brotherhood"
👇🏻👇🏻
View attachment 3468312
Ukiwa mdogo (rookie) wa hizi mambo basi utashangaa kwanini leo israel imewaangusha viongozi wa hamas nchini qatar lakini israel yuko sahihi maana wayahudi wanakuwa targeted duniani nzima na hamas na yeye pia israel atawatafuta kokote walipo.
Hivi uko timamu kweli?Israel kisha filisika hana jipya toka lini Hamas walikuwa na makao makuu Qatar zaidi ya wanao negotiating na hao kenge.
Huyu anapigwa kila siku ila mbishiHivi uko timamu kweli?
Israel ikifilisika wewe utakua na hali gani?
🤣 🤣 🤣Huyu anapigwa kila siku ila mbishi
naunga mkono hoja yako.ingekuw ngum kwa israel kushambulia hapo,Israel waliishapanga kuwaua hao viongozi wa Hamas kwa muda mrefu ni mpango na US.
Walokifanya ni kuwakusanya wote mahala pamoja na kuwafanyia elimination.
Qatar pia waweza kuwa wahusika ingawa watapiga lugha ya kidiplomasia.
Ila Hamas top leadership wote wamekuwa eliminated isipokuwa kuna taarifa kwamba wapo baadhi ya viongozi ambao hawajaguswa.
Huo ni mpango uloratibiwa na Marekani na zimetumika ndege kadhaa pamoja na UAVs kuzuia uharibifu mkubwa ingawa wapo majeruhi wataopatikana.
🤣🤣Waambie hawa waislamu wa mwanarumango! Wao kazi yao ni ushabiki wa kipumbavu tu, wakati geopolitical issues in relation to Muslim Brotherhood hawazijui. Kazi yao kufurahia tu misaada ya waarabu na waturuki bila kujua kuwa nyuma ya pazia kuna Agenda za Muslim Brotherhood
Brother Erdogan ni ndumilakuwili...hyo inajulikana mda tu....yy ni mtu wa kuangalia maslahi yake tu....yanayowakumba waarabu huko watajijua wnyewe....Erdogan huwa muongeaji sana ila vitendo kidogo kwenye Palestinian cause. Wakienda kule labda pressure ya Marekani au NATO, otherwise Israel hana uwezo wa kushambulia target ndani ya Uturuki.
Kumbuka Uturuki hawa walitunishiana misuli na Russia kule Syria ikabidi wakubaliane waheshimiane. Uturuki ilianza kwa kuangusha Su-25 ya Urusi kwa kutumia F-16 maana Warusi walikuwa na tabia ya kukatisha kienyeji kwenye anga la Uturuki mpakani.
Uturuki hawapendi kukaa kinyonge na uwezo wanao wale sio Iran.
Na taarifa zinazidi kutoka....wamepiga patupu....waliowakusudia wamewakosa....Kuna mchezo mchafu wamechezewa hawa taifa teulenaunga mkono hoja yako.ingekuw ngum kwa israel kushambulia hapo,
Walivamia lini? Lile lilikua eneo la palestina ni sawa tu na Russia inavyokalia Donbass kule Ukraine je majeshi ya Ukraine yakivamia Donbass yanakua yamevamia Urusi au bado yapo Ukraine? EmbicilesHawa makobazi wa Hamas walikosea sana kuwavamia waisrael....hili taifa limechanganyikiwa kitambo....
Okay ustaadhi uchwara, hii post yako inahusiana vipi na kuuwawa magaidi hapo Doha?
Bado turkey maana na yeye anafuga viongozi wa magaidi wa hamasPalestina
Lebanon
Iran
Syria
Qatar
Yemen
ukitaka kuishi vizuri na Israel ungana nae Tu kama anavyofanya EgyptView attachment 3468450
There is no way Iran itaweza kuishinda Israel, inaonekana Mossad wamejipenyeza ndani sana ndani ya Iran... Yaani hapa ndipo Israel ipata intel
Endelea tu kulalama kama watoto wa NguruweIla wayahudi wanajiwekea mazingira magumu sana miaka ya mbeleni. Mataifa makubwa huja na kuondoka. Marekani nayo nguvu yao itaondoka. Sijui wataishi dunia ya namna gani!
Endelea kubwabwaja tu!!Kwa akili zako unafikiri hilo watafanikiwa kuifuta Palestina isiwepo?