Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Sa we ndio una akili hahaha nini mana ya makao makuu. Hamas ma commanders wake wote wako Gaza na makao makuu yake yako Gaza, plan zakupiga zinafanywa kule hao waliopo Qatar ni wale wanao negotiate kuhusu mambo ya siasa labda muite Political Headquarter hapo sawa, au kwa kiswahili mseme makao makuu ya siasa lakini mkisema makao makuu yako Qatar mtakuwa machizi tu.Tukisema akili kisoda mna mind ona ulicho andika mvaa kipedo
Pole sana kumbe walikublock umezidisha uchizi.He hii forums si imefungiwa?
We bakii na ujinga kwanza nani kakuambia Qatar haisomeshi watu wake sijui ulisha fika Qatar au unapasikia tu. Wangekuwa wa Qatar sio wasomi wasinge kuwa wana investing pesa zao nchi za nje na wanaingiza Mabillioni huyo unaye msifu mwenye akili Israel anategemea misaada hahahaQatar ni moja ya jamii zenye watu wajinga kifikra au watu wavivu kujifunza.
Qatar ilipopata hela nyingi sana iliamua kununua magari ya kifahari na kujenga majengo ya kifahari, akaacha kujiendeleza kielimu mwisho wake hawana watu wajuzi wala wenye hali ya kujenga jeshi lako.
Israel na Iran Ndio wapinzani hasa, hawa wote wamewekeza kwenye human capital na future ya vizazi 100
Israel kachokoza pabaya sana Qatar anaweza kuisambaratisha Israel vibaya sana, kwa kuwapa silaha Syria akawambia kianzisheni huko, we huoni Trump kakimbia kusema Israel haitagusa tena Qatar hahahaHawa wayahudi wenu dawa yao ipo soon wao waendele tu. Sifurahishwi nakile kinacho wapata watoto wasio jua lolote, the day come when they ll be rubbed away the surface of earth, once ll hide back the stone, the stone ll say hey come here there is someone hide on back, stay aware and far to be safe
Fullstop, kwishaaa
So sad bad Mistake ever, they will pay it hamna cha kuomba msamaha, too much pain they have make in dis world they need to pay blood tears, and hard sweat, it is strong painsIsrael kachokoza pabaya sana Qatar anaweza kuisambaratisha Israel vibaya sana, kwa kuwapa silaha Syria akawambia kianzisheni huko, we huoni Trump kakimbia kusema Israel haitagusa tena Qatar hahaha
Hakuna kitu hatari duniani kama pesa.
Dua la kuku ili shekheIsrael kachokoza pabaya sana Qatar anaweza kuisambaratisha Israel vibaya sana, kwa kuwapa silaha Syria akawambia kianzisheni huko, we huoni Trump kakimbia kusema Israel haitagusa tena Qatar hahaha
Hakuna kitu hatari duniani kama pesa.
Basi kama hujui Qatar imewahi kuwekewa vijana na nchi za Kiarabu karibu zote sababu ya Kussport UgaidiIsrael kachokoza pabaya sana Qatar anaweza kuisambaratisha Israel vibaya sana, kwa kuwapa silaha Syria akawambia kianzisheni huko, we huoni Trump kakimbia kusema Israel haitagusa tena Qatar hahaha
Hakuna kitu hatari duniani kama pesa.
Ni kweli watazidi kutengwaSo sad bad Mistake ever, they will pay it hamna cha kuomba msamaha, too much pain they have make in dis world they need to pay blood tears, and hard sweat, it is strong pains
Young money, kwishaaaa
Mdogo wangu ngoja nikwambie tofauti ya Israel na QatarWe bakii na ujinga kwanza nani kakuambia Qatar haisomeshi watu wake sijui ulisha fika Qatar au unapasikia tu. Wangekuwa wa Qatar sio wasomi wasinge kuwa wana investing pesa zao nchi za nje na wanaingiza Mabillioni huyo unaye msifu mwenye akili Israel anategemea misaada hahaha
Madogo wangu ndio mana tunaomba omba msada USA, afu USA anaomba omba kwa yule unaye mcheka 🤣Mdogo wangu ngoja nikwambie tofauti ya Israel na Qatar
Israel ina GDP kubwa sana kuliko Qatar, lakini Wayahudi wana nidhamu kubwa ya Hela ndio maana wao hawainvest kwenye skyscrapers na kununua magari ya kifahari badala yake wana investment kwenye technology, science na Elimu kwa Ujumla...
Wanaishi maisha modest...
Qatar pesa ipo anaweza kukusanya mpaa we ukaenda Gaza cheza na pesa wewe.Dua la kuku ili shekhe
Hamna lolote hao UAE, Saud Arabia, Baharain na Morocco walikuwa wanataka kuipundua serekali ya Qatar walipo failed wakaipiga sunction walipo failed wakarudi kujibembeleza kwa Qatar.Basi kama hujui Qatar imewahi kuwekewa vijana na nchi za Kiarabu karibu zote sababu ya Kussport Ugaidi
Labda kama huupendi utawala wa Qatar kuendelea madarakani hawa wehu wa Qatar waliowakaribisha mbwa wa Israel[Marekani] kuweka kambi yao hapo ndio wanaweza kuwa tishia chochote Israel hao Qatar hawana cha kuifanya Israel.Israel kachokoza pabaya sana Qatar anaweza kuisambaratisha Israel vibaya sana, kwa kuwapa silaha Syria akawambia kianzisheni huko, we huoni Trump kakimbia kusema Israel haitagusa tena Qatar hahaha
Hakuna kitu hatari duniani kama pesa.
Vita ndo itakolea 10times ya sasa amini. Zile kambi pale gaza atafumua zoteHamas wawaachie mateka vita iishe bila hivyo hii vita haitoisha milele
Yeah, jamaa wameivest mno katika Elimu na Tech. Hawahitaji show off za kipumbavu ila wamekazania kuijenga kesho yao na kizazi chao.Mdogo wangu ngoja nikwambie tofauti ya Israel na Qatar
Israel ina GDP kubwa sana kuliko Qatar, lakini Wayahudi wana nidhamu kubwa ya Hela ndio maana wao hawainvest kwenye skyscrapers na kununua magari ya kifahari badala yake wana investment kwenye technology, science na Elimu kwa Ujumla...
Wanaishi maisha modest...
Kwani Marekani imekuwa super power lini? Toka enzi na enzi Israel ilikuwa ikipigana vita, inashinda na inapigwa pia.If united State quit only for one second, Israel will change to desert,
Hustler & Young money, kwishaaaaa
Go to check a video shows, when Jews were back to their land, see how Palestinian were welcome them with more 💕 and see to day what they harvest bro, so sad, too much and expensive painKwani Marekani imekuwa super power lini? Toka enzi na enzi Israel ilikuwa ikipigana vita, inashinda na inapigwa pia.
Hata leo USA akiondoka, bado Israel inaweza kupambana na maadui zake.