Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasra yupo zake huko anakunywa pombe katika mito na kuchezea viuno vya Totoz muda huu!!Osama yupi unamuongelea?
Msemaji wa IDF mh Hagai amesema Kuuliwa kwa Nasrallah Kiongozi mkuu wa Hezbollah ni kuifanya Dunia iwe sehemu salama ya binadamu Kuishi
Nasrallah mikono yake imejaa damu za Walebanon, Waisrael, Wapalestina, Waingereza, Wamarekani nk...nk
Kwa sasa IDF itaendelea kulipua miundombinu ya Hezbollah na wananchi wasio na hatia wasiwe na hofu
Kwa sasa IDF iko kwenye tahadhari ya Juu kabisa na yoyote atakayejipendekeza tutanyooka naye
Hagai alikuwa anaongea na waandishi wa Habari wote duniani
Source: BBC
Post#2 iko kizungu 😂😂Duh mkuu unaongeza chumv mzee...atakaejipendekeza tutanyooka nae...iweke kizungu hii
Viongozi wote 😂😂😂 ama kweli ukiwa na mchokozi uwe na mbio...Hizbollah siyo vile nilivyodhani. Yani ndani ya wiki moja kiongozi mkuu anauawa.
Kivipi? 🐼Vice versa is also true
Muuza spare za magari Ilala.Osama yupi unamuongelea?
🤣 🤣 🤣 🤣 Mbona wanauliwa kama kukuMaelekezo kwa ajili ya Dua kwa baadhi ya viongozi wadini Visiwani ili kuombea Viongozi wa Gaza Lebanoni hii ilikuwa mwezi wa Agosti 2024,
Je Allah anajibu dua zao kweli au yuko kinyume nao????
👇👇👇
Tanbihi- Ukumbusho
Inna lillahi Wainna Ilayhi Rajioun
Ukumbusho tanbihi na tangazo kwa Maimamu wote wanaoswalisha swala za Ijumaa wanaombiwa kuwasalisha viongozi wawili watetezi wa Uislamu na Waislamu Mujahidiyna fiy sabilillahi wanaopigana dhidi ya Mashahidi Wazayuni nao ni Alqaid Almujahid Ashahid Ismaily bin Abdisalaam Haniyyah wa Ghaza na Alqaid Almujahid Fuad bin Shakur wa Lebanon pamoja na mabodigadi wao na kwa wale Maimamu wa Misikiti usiokuwa ya Ijumaa wawasalie baada ya swala ya magharibi au baada ya swala ya Isha inshaAllah
Nia ya Swalatul Ghaib ni
Mawaziri Uswali Swalatul Amwatil Ghaibitna Fardhi kifaya Arbaa takbirati lillahi Tawala Allahu Akbar
Inatia nia ya kuwasalia maiti wote waliokua mbali Fardhi ya kutosheleza kwa takbira nne Allahu Akbar
Kila atakayepata ukumbusho huu amjulishe mwenzake inshaAllah
Walillahil Baqai
Allahumma ighfirlahu Warhamhum Amin
Ewe Allahu wamsamehe na uwatehemu wote Amin Amin.
Imeandikwa na
.....................
Khalifa na Sheikh wa Twariqatun Naqshabandiytah Zanzibar na Tanzania nzima
02/08/2024A D
26th Muharam 1446A.H
Walillahil Tawfiq
Amini hivyo panzi wewe utakuwa salama. Jinsi mnavyoongeza dharau kwa Mnyahudi ndivyo mnavyozalisha matatizoSasa Israel ni taifa la mungu yupi, Yesu anatukanwa na anatemewa mate ni mayahudi wanamwita mtoto wa zinaa
Kafa lini?Muuza spare za magari Ilala.
Hayo sio maneno yangu hayo ni maneno ya Washia wote walioko chini ya KhameneiGuardian wa nini kwenye Uislam wewe?
Uislam Hauna "terminologies" za kijinga hizo.
Nakushauri usome Uislam kupitia Qur'an japo kidogo, usiwe mjinga.
Qur'ani Tukufu
www.iium.edu.my
Amani ni muhimu sana
Intelejensia pamoja na tekinolojiaHawa Waisraeli wanajuaje kuwa adui yuko eneo hilo kwa wakati huo? View attachment 3109240
Yeah. Shoka limekwishawekwa shinani....... (Luka 3:9 na Math 3:10-12)