Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Msemaji wa IDF mh Hagai amesema Kuuliwa kwa Nasrallah Kiongozi mkuu wa Hezbollah ni kuifanya Dunia iwe sehemu salama ya binadamu Kuishi

Nasrallah mikono yake imejaa damu za Walebanon, Waisrael, Wapalestina, Waingereza, Wamarekani nk...nk

Kwa sasa IDF itaendelea kulipua miundombinu ya Hezbollah na wananchi wasio na hatia wasiwe na hofu

Kwa sasa IDF iko kwenye tahadhari ya Juu kabisa na yoyote atakayejipendekeza tutanyooka naye

Hagai alikuwa anaongea na waandishi wa Habari wote duniani

Source: BBC

Kwa sasa IDF iko kwenye tahadhari ya Juu kabisa na yoyote atakayejipendekeza tutanyooka naye

👆👆 Hiyo statement sio mchezo, so akitokea kiherehere wanakumaliza, hii ni message kwa Iran
 
Hizbollah siyo vile nilivyodhani. Yani ndani ya wiki moja kiongozi mkuu anauawa.
Viongozi wote 😂😂😂 ama kweli ukiwa na mchokozi uwe na mbio...

Yaani ukiwauliza Watu why Hezbollah ilikuwa inawashambulia Israel huwezi kupata jibu la maana
 
Maelekezo kwa ajili ya Dua kwa baadhi ya viongozi wadini Visiwani ili kuombea Viongozi wa Gaza Lebanoni hii ilikuwa mwezi wa Agosti 2024,
Je Allah anajibu dua zao kweli au yuko kinyume nao????

👇👇👇
Tanbihi- Ukumbusho
Inna lillahi Wainna Ilayhi Rajioun

Ukumbusho tanbihi na tangazo kwa Maimamu wote wanaoswalisha swala za Ijumaa wanaombiwa kuwasalisha viongozi wawili watetezi wa Uislamu na Waislamu Mujahidiyna fiy sabilillahi wanaopigana dhidi ya Mashahidi Wazayuni nao ni Alqaid Almujahid Ashahid Ismaily bin Abdisalaam Haniyyah wa Ghaza na Alqaid Almujahid Fuad bin Shakur wa Lebanon pamoja na mabodigadi wao na kwa wale Maimamu wa Misikiti usiokuwa ya Ijumaa wawasalie baada ya swala ya magharibi au baada ya swala ya Isha inshaAllah

Nia ya Swalatul Ghaib ni
Mawaziri Uswali Swalatul Amwatil Ghaibitna Fardhi kifaya Arbaa takbirati lillahi Tawala Allahu Akbar

Inatia nia ya kuwasalia maiti wote waliokua mbali Fardhi ya kutosheleza kwa takbira nne Allahu Akbar

Kila atakayepata ukumbusho huu amjulishe mwenzake inshaAllah
Walillahil Baqai
Allahumma ighfirlahu Warhamhum Amin
Ewe Allahu wamsamehe na uwatehemu wote Amin Amin.
Imeandikwa na
.....................
Khalifa na Sheikh wa Twariqatun Naqshabandiytah Zanzibar na Tanzania nzima
02/08/2024A D
26th Muharam 1446A.H
Walillahil Tawfiq
🤣 🤣 🤣 🤣 Mbona wanauliwa kama kuku
 
Sasa Israel ni taifa la mungu yupi, Yesu anatukanwa na anatemewa mate ni mayahudi wanamwita mtoto wa zinaa
Amini hivyo panzi wewe utakuwa salama. Jinsi mnavyoongeza dharau kwa Mnyahudi ndivyo mnavyozalisha matatizo
 
Guardian wa nini kwenye Uislam wewe?

Uislam Hauna "terminologies" za kijinga hizo.
Nakushauri usome Uislam kupitia Qur'an japo kidogo, usiwe mjinga.

Hayo sio maneno yangu hayo ni maneno ya Washia wote walioko chini ya Khamenei

Wanamuona kama Kiongozi mkuu wa Waislam wa Wakati huu wanamuita owner of this time.
 
Bado nyoka hajafa! Bila kuponda kichwa chake ambacho ni Iran bado amani haitakuwepo mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom