Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah


Kwa sasa IDF iko kwenye tahadhari ya Juu kabisa na yoyote atakayejipendekeza tutanyooka naye

πŸ‘†πŸ‘† Hiyo statement sio mchezo, so akitokea kiherehere wanakumaliza, hii ni message kwa Iran
 
Hizbollah siyo vile nilivyodhani. Yani ndani ya wiki moja kiongozi mkuu anauawa.
Viongozi wote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ama kweli ukiwa na mchokozi uwe na mbio...

Yaani ukiwauliza Watu why Hezbollah ilikuwa inawashambulia Israel huwezi kupata jibu la maana
 
🀣 🀣 🀣 🀣 Mbona wanauliwa kama kuku
 
Sasa Israel ni taifa la mungu yupi, Yesu anatukanwa na anatemewa mate ni mayahudi wanamwita mtoto wa zinaa
Amini hivyo panzi wewe utakuwa salama. Jinsi mnavyoongeza dharau kwa Mnyahudi ndivyo mnavyozalisha matatizo
 
Hayo sio maneno yangu hayo ni maneno ya Washia wote walioko chini ya Khamenei

Wanamuona kama Kiongozi mkuu wa Waislam wa Wakati huu wanamuita owner of this time.
 
Bado nyoka hajafa! Bila kuponda kichwa chake ambacho ni Iran bado amani haitakuwepo mashariki ya kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…