Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Kinachonwaathiri hao waarabu ni usaliti wa ndani. Intelijensia yao ipo weak na inavuja mno. Mipango wanapanga usiku. Baada ya dakika chache inakuwa mezani kwa yahood na marekani wakati watu wanapata a cup of coffee. Wakimaliza hapo ni kutuma mabomu tu kunaliza kazi.
Mafriji yao hayagandii kabisa hawa waarabu..
 
Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.

Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.

Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane
Kama ni kula, basi jamaa wameanzia chini kabisa kwenye unyayo all the way mpaka kichwa
 
Sema hawa wajamaa huwa wana mikwala sana.....

Ukisikiliza hotuba zao kama wewe unaishi Israel unaweza usitoke nje Daima.......

Hotuba zao zimejaa ushujaa na maneno magumu Sana.........

Kwa kweli japokuwa wanauwawa lakini nawapongeza wanakufa wakiwa wanapigania wanachokiamini.......

Alale anapostahili kiongozi wa Hezbollah's
 
Hadi mtangazaji anashangaa inawezekana vipi viongozi wakuu wanaliwa kirahisi hivi!?
Haujui waandish wa haabar haswa wa huko magaribi ni wanafki, hua wanafurahia vita machafuko duniani ili wapate views na content sasa ukikata kichwa cha nyoka mkuu, unatgemea nini tena hapo hamna vita , hao wengine wafuasi watauliwa ndani ya siku tu
 
Back
Top Bottom