uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Hatari sana hii vita imeisha maana IDF Wana control Beirut international airport na ndio wanaamuru ndege gani itue na ipi isitueHaujui waandish wa haabar haswa wa huko magaribi ni wanafki, hua wanafurahia vita machafuko duniani ili wapate views na content sasa ukikata kichwa cha nyoka mkuu, unatgemea nini tena hapo hamna vita , hao wengine wafuasi watauliwa ndani ya siku tu
Pia nasikia viongozi wengi wa Lebanon wamefurahi jamaa kupigwa missile