Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Lakini tusubiri tamko rasmi kutoka kwa Hezbollah wakiri kama ni kweli Nasrallah kafariki.

Kama ni kweli, nadhani Hezbollah haitoisikiliza serikali ya Lebanon kuhusu kuingia vitani na Israel, itakuwa deadly war...
Wamechelewa na ndo maana unaona waandamanaji wameingia mitaani wanashangilia. Hii ni picha kuwa serikali haitokubali kuingia vitani.
 
Ndo kazi ya intelligence, na kwa lugha rahisi pesa pia inahusika maana kuna muda watu inabidi watoe taarifa zako
Na wahenga walisemaga "Kikulacho ki nguoni mwako" lakini pia sayansi na teknolojia vimeAdvance kiasi kwamba Satelite Grid reference nazo huchangia kukutambulisha uko wapi na Biological DNA yako ni utambulisho hakika wa wewe.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kabla ya huyo aliuliwa pia , wakati muda huu mashambulizi yanaendelea
Screenshot_20240928_052222_Samsung Internet.jpg
 
Mkuu. Narudia tena kukuita MKUU. Yahudi akisema ameua 99% huwa ni kweli. Hawa intelligence yao ipo hai. Na hao hizbolah hawana uwezo wa kupigana na myahudi.
Iran walisema yupo salama... Ila hawajatoa update, ngoja tusubiri tuwe na subira, sipingi, ila tu nataka kujiridhisha...

Hio bunker buster iliyotumwa nahisi walijua Nasrallah yupo chini ya tunnels, wakatengeneza bomb lenye uzito wa kuzidi...

Lakini 2006 pia Israel walipata taarifa zisizo kweli kuhusu silaha za Hezbollah zilipo... Na baadae kutangaza wamezinagamiza zote...

Ngoja tusubiri.
 
Yahudi kwel kachafukwa, hapa hakuna tena zile kelele oooh wanaua akina mama .....inaonekana mzayuni aliwapandikizia GPRS hawa majamaa popote waendapo anawazoom
Shida anaweza kuwa mahali ambapo kuna wananchi wasio na hatia.
 
Hao wanamgambo tuone kama vita itasimama.
Kha! Isimame wapi broo! Labda Myahudi kwa huruma tuu, aamue kusimamisha kwa muda kidogo kipigo kitu ambacho hatofanya kwani anazingatia KIAPO chake kwamba lazima Hezbollah ifutwe kabisa na isikae iwepo hapa kwenye uso wa dunia.
 
Na wahenga walisemaga "Kikulacho ki nguoni mwako" lakini pia sayansi na teknolojia vimeAdvance kiasi kwamba Satelite Grid reference nazo huchangia kukutambulisha uko wapi na Biological DNA yako ni utambulisho hakika wa wewe.
Naam teknolojia ina play part kubwa sana.
 
Kha! Isimame wapi broo! Labda Myahudi kwa huruma tuu, aamue kusimamisha kwa muda kidogo kipigo kitu ambacho hatofanya kwani anazingatia KIAPO chake kwamba lazima Hezbollah ifutwe kabisa na isikae iwepo hapa kwenye uso wa dunia.
Ngoma bado ngumu
 
Hata laiivyokufa Mulka Afghanustan walidhani ndiyo movie imekwisha. Kimbebe kilichiwawakia moto kwa miaka 20 mfululizo npaka wenyewe wakatoka nduki.
 
Back
Top Bottom