Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Hezibullah walishawekwa mkononi, kuna mapandikizi mengi sana. Na Kwa sababu za kiuchumi nadhani mapandikizi ni zaidi ya kawaida.
 
Hata laiivyokufa Mulka Afghanustan walidhani ndiyo movie imekwisha. Kimbebe kilichiwawakia moto kwa miaka 20 mfululizo npaka wenyewe wakatoka nduki.
Huu mgogoro wa middle east ni wakijinga sana. Ni kama watu wanapeana zamu ya kushangilia ushindi kws nyakati tofauti
 
Ogopa nchi inayomiliki satellite na technolojia yake.
 
Hata laiivyokufa Mulka Afghanustan walidhani ndiyo movie imekwisha. Kimbebe kilichiwawakia moto kwa miaka 20 mfululizo npaka wenyewe wakatoka nduki.
We jamaa; unazungumzia Afghanistan ya LEBANON au imekuwaje? Muda(kipindi) ule wa Afghanistan sio muda wa leo, na aliyehusika huko Afghanistan sio huyu mhusika hapo Lebanon. Kwa Myahudi ni "No retreat no Surrender" au kibongobongo ni "Ama zako ama zangu" kwisha usitegemee Myahudi abadili mdundo. Myahudi atatoka nduki aende wapi?
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.


Mazayuni na magahribi na mapoyoyo wao wanafikiri ni Hollywood movie, akifa mbabe movie imekwisha.

Ndiyo kwanza wamejigeuza pweza kujipalilia mkaa wao wenywe.
Tubu dhambi zako ,Rudi kwa Mungu wa kweli.
 
Nimeshaanza kuelewa kwanini yule Rais wa Korea Kaskazini alipokwenda kukutana na Trump Singapore alichukua mpaka kinyesi chake na kurudi nacho kwao...
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Yanaitwa Bunker Buster, hata ujifiche kwenye handaki la urefu gani, limejengewa na zege ya umeme gani bomu linapenya Tu.....zimezuiwa na "Geneva Convention" kutumika kwenye maneno yenye msongamano WA Watu ila mayahudi huwa wapo juu ya sheria!
Netanyahu aliwaambianjana kwenye hotuba yake pale UN janankuwa hakuna wa kumzuia mpaka atimize lengo. Yule hata USA anajionea huruma kumgusa maana ashapandwa na mzuka. Mpaka awale vishundu wote wahuni wale
 
Nimeshaanza kuelewa kwanini yule Rais wa Korea Kaskazini alipokwenda kukutana na Trump Singapore alichukua mpaka kinyesi chake na kurudi nacho kwao...
Kiduku anataka kujihakikishia uhakika kwa 100%. Mkuu madhali umeitaja korea hivi kwanini hawa israel-palestina hizi nchi za wababe hawakuhakikisha kama kitu walichofanya north - south korea
 
Hii sasa ni hatari na hatari nayoiona hapo ni kuwa hao viongozi wa juu watakuwa wanaogopwa hadi ndugu zao kwasababu ya kuhofia usalama wao.

Kwa mfululizo wa hawa viongozi kuuwawa then anakuja kuchaguliwa kiongozi mwingine aje akaimu hiyo nafasi.

Imagine sasa huyo kiongozi wa Hezbollah anaomba aje kwako akutembelee. Utakubali?

Hata kama alikuwa ni kaka yako lakini hapo lazima undugu ukae pembeni kwasababu kuwa karibu naye ni kujiweka katika risk ya kuhatarisha maisha yako.

So kupitia mauaji ya viongozi hawa binafsi naiona hofu kubwa ya watu ambao wanazungukwa na hao viongozi.
 
Kwenye usaliti huo hawakosekani walebanon wakiristo
Kwenye hivi vita vya weupe udini mnaleta nyie weusi, Palestine anaungwa mkono na nchi kibao za ulaya
Bado Hezbollah hawajathibitisha taariza hii. Lakini hili nilijua tu litatokea baada ya mashambulizi mawili ya kwanza kufanywa na Israel.

Yemen wajiandae sasa, wao ndio wanaofuatia.
Hakuna wakuwaokoa hapo middle east.
Next stop ayatollah
 
Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.

Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.

Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane

Full @IDF statement on its elimination of Hezbollah chief Hassan Nasrallah:


“The IDF announces that yesterday (Friday), September 27th, 2024, Hassan Nasrallah, the leader of the Hezbollah terrorist organization and one of its founders, was eliminated by the IDF, together with Ali Karki, the Commander of Hezbollah’s Southern Front, and additional Hezbollah commanders.


Following precise intelligence from the IDF and Israeli security establishment, IAF fighter jets conducted a targeted strike on the Central Headquarters of the Hezbollah terrorist organization, which was located underground embedded under a residential building in the area of Dahieh in Beirut. The strike was conducted while Hezbollah’s senior chain of command were operating from the headquarters and advancing terrorist activities against the citizens of the State of Israel.


During Hassan Nastallah’s 32-year reign as the Secretary-General of Hezbollah, he was responsible for the murder of many Israeli civilians and soldiers, and the planning and execution of thousands of terrorist activities. He was responsible for directing and executing terrorist attacks around the world in which civilians of various nationalities were murdered. Nasrallah was the central decision-maker and the strategic leader of the organization.


The Hezbollah terrorist organization, headed by Hassan Nasrallah, joined the Hamas terrorist organization in its war against the State of Israel on October 8th. Since then, Hezbollah has been continuing its ongoing and unprovoked attacks on the citizens of the State of Israel, dragging the State of Lebanon and the entire region into a wider escalation.


The IDF will continue operating against anyone who promotes and engages in terrorism against the State of Israel and its people.”
Dah!... Hezbollah imekatwa kichwa, Israel kwa sasa imefaulu kuidhoofisha mno Hezbollah.

Pigo kwa Iran.

T14 Armata
 
Back
Top Bottom