Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Mafriji yao hayagandii kabisa hawa waarabu..
 
Kama ni kula, basi jamaa wameanzia chini kabisa kwenye unyayo all the way mpaka kichwa
 
Sema hawa wajamaa huwa wana mikwala sana.....

Ukisikiliza hotuba zao kama wewe unaishi Israel unaweza usitoke nje Daima.......

Hotuba zao zimejaa ushujaa na maneno magumu Sana.........

Kwa kweli japokuwa wanauwawa lakini nawapongeza wanakufa wakiwa wanapigania wanachokiamini.......

Alale anapostahili kiongozi wa Hezbollah's
 
Hadi mtangazaji anashangaa inawezekana vipi viongozi wakuu wanaliwa kirahisi hivi!?
Haujui waandish wa haabar haswa wa huko magaribi ni wanafki, hua wanafurahia vita machafuko duniani ili wapate views na content sasa ukikata kichwa cha nyoka mkuu, unatgemea nini tena hapo hamna vita , hao wengine wafuasi watauliwa ndani ya siku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…