Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Jana jioni Niliweka Uzi hapa " Hassan Nassralla kwaheri" ukafutwa na mods!!

Sisi tunasubiri tamko la Hezbollah wakiri kama ni kweli...

Usije kushangaa Nasrallah anahutubia mkajificha πŸ€£πŸ˜‚
Inawezekana Scanning ya maana imeshafanyika kwenye maficho yao yote hao magaidi na jamaa hajaonekana. Ndo maana wamesema anaweza hataasionekane wapate kumzika.
 
He reap what he sow
 
Times of Israel nimeona dkk 3 zilizopita wanasema Nasrallah kauawa...

Ngoja tusubiri confirmation.
Wewe mkristo uchwara 100 others kwanini ung'ang'anie kusoma magazeti yetu matakatifu na teule? Basi usiishie kusoma hayo tu soma pia Jerusalem Post na Haaretz sawa? πŸ˜†πŸ€£πŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏ

Cc brother Maghayo na The Stress Challengerr
 
Inawezekana Scanning ya maana imeshafanyika kwenye maficho yao yote hao magaidi na jamaa hajaonekana. Ndo maana wamesema anaweza hataasionekane wapate kumzika.
Lakini tusubiri tamko rasmi kutoka kwa Hezbollah wakiri kama ni kweli Nasrallah kafariki.

Kama ni kweli, nadhani Hezbollah haitoisikiliza serikali ya Lebanon kuhusu kuingia vitani na Israel, itakuwa deadly war...
 
Haya Majamaa ni mashetani yaani kwa week moja yamemaliza Safu yote ya Uongozi wa Hizbola...

Ina maana hata Ayatollah wakiamua wanamuondoa hili ni pigo kubwa sana kwa waarabu...Warabu inabidi wajitafakari upya nguvu ya kupambana na Israel hawana kabisa wameuwawa wengi na kumbe Hizbolah haina Airdefence hata moja wanajipigia na kile kishindo cha jana hakikua cha kawaida waliokua kwenye jengo lile wote waliondoka...

Dah Imekua mwisho wa Enzi mbaya sana kwa Kamanda Hassan Nasrallah alikua mwamba mwenye ushawishi sana hapo Lebanon
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…