Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Kinachonwaathiri hao waarabu ni usaliti wa ndani. Intelijensia yao ipo weak na inavuja mno. Mipango wanapanga usiku. Baada ya dakika chache inakuwa mezani kwa yahood na marekani wakati watu wanapata a cup of coffee. Wakimaliza hapo ni kutuma mabomu tu kunaliza kazi.
 
Kinachonwaathiri hao waarabu ni usaliti wa ndani. Intelijensia yao ipo weak na inavuja mno. Mipango wanapanga usiku. Baada ya dakika chache inakuwa mezani kwa yahood na marekani wakati watu wanapata a cup of coffee. Wakimaliza hapo ni kutuma mabonu tu kunaliza kazi.
Kwenye usaliti huo hawakosekani walebanon wakiristo
 
Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.

Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.

Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane
Safi sana
 
Hawa Waisraeli wanajuaje kuwa adui yuko eneo hilo kwa wakati huo? View attachment 3109240
vibaraka,kazi ya mashushushu halafu inapenyezwa na shekeli ama pesa au udambwi au kichele wengine huita kibunda kilichonona!.
ule ukanda sio kwamba hawawezi kumtoa Israel!, isipokuwa kuna kusalitiana wenyewe kwa wenyewe pia kuna umasikini hivyo ukipitisha mlungula mzuri unapewa chaneli malkia ama mfalme yuko wapi!.. ila lazima shushushu athibitishe na atoe ripoti alipo muhusika ila wasikosee wafanye yao!.
 
Acha upumbavu weka proof
Screenshot_20240928_052222_Samsung Internet.jpg
 
Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.

Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.

Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane
Jana jioni Niliweka Uzi hapa " Hassan Nassralla kwaheri" ukafutwa na mods!!!
 
Back
Top Bottom