Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Msemaji wa IDF mh Hagai amesema Kuuliwa kwa Nasrallah Kiongozi mkuu wa Hezbollah ni kuifanya Dunia iwe sehemu salama ya binadamu Kuishi

Nasrallah mikono yake imejaa damu za Walebanon, Waisrael, Wapalestina, Waingereza, Wamarekani nk...nk

Kwa sasa IDF itaendelea kulipua miundombinu ya Hezbollah na wananchi wasio na hatia wasiwe na hofu

Kwa sasa IDF iko kwenye tahadhari ya Juu kabisa na yoyote atakayejipendekeza tutanyooka naye

Hagai alikuwa anaongea na waandishi wa Habari wote duniani

Source: BBC
 
Na wao wanajua kabisa wakristu duniani kote wanawapenda, wanawatetea na kuwapigania kwa sababu wakristu ni wajanja, wamesoma Biblia vizuri sio kama wale wanaokariri vifungu na kwenda kwenye midahalo. Wakristu wanajua ukuu na utofauti wa Taifa la izrael walivyopewa na Mungu. Utake ni hivyo hivyo usitake ni hivyo hivyo huo ni upendeleo maalumu Mungu mwenyewe kaamua. Hivyo ukijifanya unataka kupigana na izrael ,unapigana na Mungu na upo kwenye hatari ya kujiangamiza mwenyuwe. Utake ni hivyo hivyo usitake ni hivyo hivyo. Ukitaka uwe salama mpende na mpiganie izrael
Sasa Israel ni taifa la mungu yupi, Yesu anatukanwa na anatemewa mate ni mayahudi wanamwita mtoto wa zinaa
 
Makomando wa MOSAD secretly wako Beirut na hawajulikani, wanatoa taarifa zote kwa IDF ndio maana wanawamaliza kabisa Hezbollaah, maana vita ni kupata taarifa sahihi, yaani Nasrallaah na top hezbollaah leaders all killed…!!

Hezbollaah will not exist anymore..!!
 
1000036688.jpg

Why Washia middle east wanachukuliwa kuwa sio Waislam na kwa Nini Leo Waislam wamechinja sana Ngamia.

Kwenye hii ujumbe wa Hezbollah kuthibitisha kifo Cha Nashrallah.

Hakuna hata sehemu Moja wamemtaja Mohammad, badala yake kuna haya maneno.

Karbala, Al-Aali, Guardian of Muslims (Khamenei).

Israel jana imepigana vita ya Wasunni na Wakristo wote wa middle east, Huyu Nashrallah Askari wake wamepigana Yemen, Syria na Iraq wameua Wasunni wengi sana wamewatesa Wa Lebanon. What a day
 
Tatizo ni kuwa huelewi kuwa yameanza miaka 75 iliyopita.
1000036688.jpg

Je unaamini Khamenei Ndio Guardian of the Muslims, au katika Uislam kuna tofauti gani Kati ya hii Paragraph ya kumsifu Khamenei inatofauti Gani na Watu wanaojiita manabii?
 
Msemaji wa IDF mh Hagai amesema Kuuliwa kwa Nasrallah Kiongozi mkuu wa Hezbollah ni kuifanya Dunia iwe sehemu salama ya binadamu Kuishi

Nasrallah mikono yake imejaa damu za Walebanon, Waisrael, Wapalestina, Waingereza, Wamarekani nk...nk

Kwa sasa IDF itaendelea kulipua miundombinu ya Hezbollah na wananchi wasio na hatia wasiwe na hofu

Kwa sasa IDF iko kwenye tahadhari ya Juu kabisa na yoyote atakayejipendekeza tutanyooka naye

Hagai alikuwa anaongea na waandishi wa Habari wote duniani

Source: BBC
Hivi mimi huwa najiuliza hawa Waarabu wanashindwa kuishi kwa amani tu! Au mafundisho ya Mood yanawadanganya kwa maana aliwaelekeza Mazayuni ni maadui zao!
Hawana Technologia,hawana mawazo na niwafia dini wasiotumia akili!
 
Sasa Israel ni taifa la mungu yupi, Yesu anatukanwa na anatemewa mate ni mayahudi wanamwita mtoto wa zinaa
Ni hivyo hata akijambiwa mdomoni tutaendelea kumuabudu tu. Hatutaki na hatuko interested kuliabudu Jiwe moja jeusii mliolipa uungu huko uarabuni. Na hatutaki kuwa waislam eti tukifa tubadilike kuwa miarabu tumeridhika na uweusi wetu.

Nyau de adriz
 
Mungu wetu Yehova,IBARIKI Israel.
Amina! Ni heri kuiombea Israel japo walimkana Yesu kuliko kukumbatia wafuasi wa Mood!
Kwanza wafuasi wa Mood wana chuki ya ndani kwa kuwa mafundisho yao yanawafanya wasiishi vyema na jamii zingine!
Wahindi kwa maana ya Wahindu,Wabudha kwa maana ya watu wa mashariki ya mbali huwezi kuta wana migogoro kama Waislam!
 
Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.

Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.

Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane

Full @IDF statement on its elimination of Hezbollah chief Hassan Nasrallah:

“The IDF announces that yesterday (Friday), September 27th, 2024, Hassan Nasrallah, the leader of the Hezbollah terrorist organization and one of its founders, was eliminated by the IDF, together with Ali Karki, the Commander of Hezbollah’s Southern Front, and additional Hezbollah commanders.

Following precise intelligence from the IDF and Israeli security establishment, IAF fighter jets conducted a targeted strike on the Central Headquarters of the Hezbollah terrorist organization, which was located underground embedded under a residential building in the area of Dahieh in Beirut. The strike was conducted while Hezbollah’s senior chain of command were operating from the headquarters and advancing terrorist activities against the citizens of the State of Israel.

During Hassan Nastallah’s 32-year reign as the Secretary-General of Hezbollah, he was responsible for the murder of many Israeli civilians and soldiers, and the planning and execution of thousands of terrorist activities. He was responsible for directing and executing terrorist attacks around the world in which civilians of various nationalities were murdered. Nasrallah was the central decision-maker and the strategic leader of the organization.

The Hezbollah terrorist organization, headed by Hassan Nasrallah, joined the Hamas terrorist organization in its war against the State of Israel on October 8th. Since then, Hezbollah has been continuing its ongoing and unprovoked attacks on the citizens of the State of Israel, dragging the State of Lebanon and the entire region into a wider escalation.

The IDF will continue operating against anyone who promotes and engages in terrorism against the State of Israel and its people.”

Maelekezo kwa ajili ya Dua kwa baadhi ya viongozi wadini Visiwani ili kuombea Viongozi wa Gaza Lebanoni hii ilikuwa mwezi wa Agosti 2024,
Je Allah anajibu dua zao kweli au yuko kinyume nao????

👇👇👇
Tanbihi- Ukumbusho
Inna lillahi Wainna Ilayhi Rajioun

Ukumbusho tanbihi na tangazo kwa Maimamu wote wanaoswalisha swala za Ijumaa wanaombiwa kuwasalisha viongozi wawili watetezi wa Uislamu na Waislamu Mujahidiyna fiy sabilillahi wanaopigana dhidi ya Mashahidi Wazayuni nao ni Alqaid Almujahid Ashahid Ismaily bin Abdisalaam Haniyyah wa Ghaza na Alqaid Almujahid Fuad bin Shakur wa Lebanon pamoja na mabodigadi wao na kwa wale Maimamu wa Misikiti usiokuwa ya Ijumaa wawasalie baada ya swala ya magharibi au baada ya swala ya Isha inshaAllah

Nia ya Swalatul Ghaib ni
Mawaziri Uswali Swalatul Amwatil Ghaibitna Fardhi kifaya Arbaa takbirati lillahi Tawala Allahu Akbar

Inatia nia ya kuwasalia maiti wote waliokua mbali Fardhi ya kutosheleza kwa takbira nne Allahu Akbar

Kila atakayepata ukumbusho huu amjulishe mwenzake inshaAllah
Walillahil Baqai
Allahumma ighfirlahu Warhamhum Amin
Ewe Allahu wamsamehe na uwatehemu wote Amin Amin.
Imeandikwa na
.....................
Khalifa na Sheikh wa Twariqatun Naqshabandiytah Zanzibar na Tanzania nzima
02/08/2024A D
26th Muharam 1446A.H
Walillahil Tawfiq
 
Msemaji wa IDF mh Hagai amesema Kuuliwa kwa Nasrallah Kiongozi mkuu wa Hezbollah ni kuifanya Dunia iwe sehemu salama ya binadamu Kuishi

Nasrallah mikono yake imejaa damu za Walebanon, Waisrael, Wapalestina, Waingereza, Wamarekani nk...nk

Kwa sasa IDF itaendelea kulipua miundombinu ya Hezbollah na wananchi wasio na hatia wasiwe na hofu

Kwa sasa IDF iko kwenye tahadhari ya Juu kabisa na yoyote atakayejipendekeza tutanyooka naye

Hagai alikuwa anaongea na waandishi wa Habari wote duniani

Source: BBC

They are right.

Hivi mimi huwa najiuliza hawa Waarabu wanashindwa kuishi kwa amani tu! Au mafundisho ya Mood yanawadanganya kwa maana aliwaelekeza Mazayuni ni maadui zao!
Hawana Technologia,hawana mawazo na niwafia dini wasiotumia akili!
Kuna mstari mwembamba Sana unaogenganisha kati ya Uislamu na Ugaidi.
 
View attachment 3109455

Why Washia middle east wanachukuliwa kuwa sio Waislam na kwa Nini Leo Waislam wamechinja sana Ngamia.

Kwenye hii ujumbe wa Hezbollah kuthibitisha kifo Cha Nashrallah.

Hakuna hata sehemu Moja wamemtaja Mohammad, badala yake kuna haya maneno.

Karbala, Al-Aali, Guardian of Muslims (Khamenei).

Israel jana imepigana vita ya Wasunni na Wakristo wote wa middle east, Huyu Nashrallah Askari wake wamepigana Yemen, Syria na Iraq wameua Wasunni wengi sana wamewatesa Wa Lebanon. What a day

Ukweli ni kuwa Mashia sio Waislamu, sababu wanaenda kinyume na itikadi za Uislamu.

Ushia chimbuko lake ni UYAHUDI.
 
Back
Top Bottom