Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Osama bin Laden alikuwa surveilled na stealth drone, RQ-170.

Drone ilikuwa na uwezo wa kupiga picha na kurekodi video.

Yawezekana kabisa Israel nao wanawafuatilia hao watu na drones ambazo haziwezi kuwa detected na radar.

Na ni drones zenye uwezo wa kutoa feedback ya photos na video.
You might be right maana ni kama wanafahamu wote walipo bila hata kubahatisha.
 
Hizo


Umebadili gia au chorus?

Sijabadili Gia.
Naongea kilichotokea, kinachotokea na kitakachotokea.

Ibrahim Alivamia Ardhi isiyo ya Kwao, Hapo Kanaani akawakuta wakanaani, na wahiti, wahivi, wayebusi. Akaandaa mpàngo WA kuwanyang'anya Taífa Hilo akiwa ameahidiwa na Mungu wake Aitwaye Yehova na Wala hakuwa Allah.

Akampa success plan Isaka, akamnyima Ishmael.
Isaka akampa Success Plan Yakobo akamnyima Esau.

Yakobo ndîo akazaa haya Mayahudi àmbayo yanaendeleza Kile kichoanzishwa na Ibrahim àmbaye madai Yake aliagizwa na Yehova Mungu wake, Muumbaji àmbaye alimrithi Kwa Nuhu Babu yake. Wakati akiwa amemkimba Nimrodi mfalma wa Shinari.


Haitakuwa rahisi muarabu na Hapo Mashariki ya Kati kumshinda Myahudi.

Allah mungu wa Waarabu siô mungu WA Kwanza kupambana na Yahweh Mungu wa Mayahudi. Walikuwepo mîungu kama Baal, asheri, n.k. àmbao walidumu Kwa Miaka mingi zaidi ya elfu Mbili lakini Sasa hivi hawapo.

Yahudi kashafanya utapeli na dhulma

Ninachowashangaa ninyi Waislam NI kujipendekeza Kwa Yehova, Yahweh kwamba ati ndîo Allah NI kama mnaabudu mambo msiyoyajua lakini Mali serious alafu mkieleza kanakwamba mnajua mnayoyaeleza.
 
Nichukue nafasi hii kumpongeza

Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah kwa kuuawa na majeshi shupavu ya Israel​

 
1000036741.png


Mpenzi FaizaFoxy hata Waislam wenzako wa Qatar(Wasunni) wanaungana na Mawazo yako kuwa Khamenei sio Kiongozi wa Waislam Duniani na issue za kikafiri zote za Kishia wameziwekea ...
 

Nasrallah confirmed killed in Beirut by Israeli air strike​


September 28, 2024 Hits: 3785
Murdered by Israeli Air Strike - Nasrallah Confirmed Killed in Beirut


Sayad Hassan Nasrallah, the leader of the political party Hezballah, in Lebanon, has been confirmed as having been killed by barbaric Israeli Air Strikes upon residential apartment buildings in Beirut, Lebanon.
Hezballah made the announcement: "The party of God (Hezb-Allah) announces the martyrdom of the secretary general, Sayyed Hassan Nasrallah."
Full Statement issued by Hezb-Allah:
“In the name of God, the Most Gracious, the Most Merciful {So let those fight in the way of Allah who exchange the life of this world for the Hereafter. And whoever fights in the way of Allah and is killed or victorious - We will give him a great reward.} God Almighty is true.
His Eminence, the Master of Resistance, the righteous servant, has passed away to be with his Lord and to His pleasure as a great martyr, a heroic, daring, brave, wise, insightful, and faithful leader, joining the caravan of martyrs of the eternal, luminous Karbala in the divine, faith-based path in the footsteps of the prophets and martyred imams. His Eminence Sayyed Hassan Nasrallah, Secretary General of Hezbollah, has joined his great and immortal martyred comrades, whose path he led for nearly thirty years, during which he led them from victory to victory, succeeding the Master of the Martyrs of the Islamic Resistance in 1992 until the liberation of Lebanon in 2000 and to the glorious divine victory in 2006 and all the battles of honor and sacrifice, arriving at the battle of support and heroism in support of Palestine, Gaza, and the oppressed Palestinian people.
We offer our condolences to the Master of the Age (may God hasten his reappearance), the Guardian of the Muslims, Imam Sayyed Ali Khamenei, may his shadow endure, the great authorities, the mujahideen, the believers, the nation of resistance, our patient and struggling Lebanese people, the entire Islamic nation, all the free and oppressed people in the world, and his honorable and patient family. We congratulate His Eminence the Secretary-General of Hezbollah, Sayyed Hassan Nasrallah, may God be pleased with him, on receiving the highest divine medal, the Imam Hussein Medal, peace be upon him, fulfilling his most precious wishes and the highest ranks of faith and pure belief, as a martyr on the path of Jerusalem and Palestine.
We offer our condolences and congratulations to his fellow martyrs who joined his pure and holy procession following the treacherous Zionist raid on the southern suburb.
The leadership of Hezbollah pledges to the highest, most sacred and most precious martyr in our journey full of sacrifices and martyrs that it will continue its jihad in confronting the enemy, in support of Gaza and Palestine, and in defense of Lebanon and its steadfast and honorable people.
To the honorable mujahideen and the victorious and triumphant heroes of the Islamic Resistance, you are the trust of the martyred Sayyid, and you are his brothers who were his impregnable shield and the jewel in the crown of heroism and sacrifice. Our leader, His Eminence, is still among us with his thought, spirit, line, and sacred approach, and you are committed to the pledge of loyalty and commitment to resistance and sacrifice until victory.
Saturday 9-28-2024
24 Rabi` al-Awwal 1446 AH


Link:
 
Sijabadili Gia.
Naongea kilichotokea, kinachotokea na kitakachotokea.

Ibrahim Alivamia Ardhi isiyo ya Kwao, Hapo Kanaani akawakuta wakanaani, na wahiti, wahivi, wayebusi. Akaandaa mpàngo WA kuwanyang'anya Taífa Hilo akiwa ameahidiwa na Mungu wake Aitwaye Yehova na Wala hakuwa Allah.

Akampa success plan Isaka, akamnyima Ishmael.
Isaka akampa Success Plan Yakobo akamnyima Esau.

Yakobo ndîo akazaa haya Mayahudi àmbayo yanaendeleza Kile kichoanzishwa na Ibrahim àmbaye madai Yake aliagizwa na Yehova Mungu wake, Muumbaji àmbaye alimrithi Kwa Nuhu Babu yake. Wakati akiwa amemkimba Nimrodi mfalma wa Shinari.


Haitakuwa rahisi muarabu na Hapo Mashariki ya Kati kumshinda Myahudi.

Allah mungu wa Waarabu siô mungu WA Kwanza kupambana na Yahweh Mungu wa Mayahudi. Walikuwepo mîungu kama Baal, asheri, n.k. àmbao walidumu Kwa Miaka mingi zaidi ya elfu Mbili lakini Sasa hivi hawapo.

Yahudi kashafanya utapeli na dhulma

Ninachowashangaa ninyi Waislam NI kujipendekeza Kwa Yehova, Yahweh kwamba ati ndîo Allah NI kama mnaabudu mambo msiyoyajua lakini Mali serious alafu mkieleza kanakwamba mnajua mnayoyaeleza.
Vipi ushoga unaupinga mleta mada? Sema ndiyo au hapana usilete porojo

Nataka ujibu ndiyo au hapana
 
Sasa Netanyahu kweli atakuwa na amani akiwa ndani ya Israel au amejipa jangoloo bin kiolo. Mi nipo apa na mwajuma wangu kazi iyendelee yeye katangulia sisi tupo nyumayake., mungu ni mwema kwa wanyenyekevu.
 
View attachment 3109553hapo Netanyau anajulishwa yupo sehemu isiyo na madhara kwa Raia,oda ya kumtungua akaitoa fasta,Akiwa Marekani
Namna hii! Ndiyo ilivyo...

Ukiona wakubwa wanagombea nchi fulani kisimika military base kama ilivyo kwa Ukraine kati ya USA NA URUSI ni kwa maslahi mapana ya kupata control ya eneo hilo na nchi inazolizunguka kuanzia anga majini na ardhini nchi hizo zinakuja katika control yao cavarage ya frequencies tofauti tofauti I inakua inafikia hata nchi mahasimu hivyo wanakua na uwezo wa kukumonitor shughuli zako zote... Siku kikinuka unakua Huna ujanja(wanakumudu)

Ndio maana PUTIN anapambana Ukraine isijiunge na NATO.

Na sisi kama tunampango wa kuwa wababe ukanda huu basi Zanzibar tusiiache... ao wengine kina Kenya na Rwanda tutapambana nao kiume.

Moja ya migogoro inayoendelea katika mataifa haya ni kwasababu wakubwa hawajapata control ya uhakika maeneo hayo hivyo benchi Lao la ufundi linasuka mipango AKA fitna ili kupata control ya ukanda hou na wenyeji wanajua fika tukiruhusu tu tumekwisha ndoto za u super power tusahau... Ndio Maana wanapambana sana.

Maeneo kama;
China na Taiwan (on fire)
China na Hong Kong (on fire)
Urusi na Ukraine (on fire)
Korea na urusi na Japan (walifanikiwa kwa 50% mjapani alirudisha mpira kwa kipa)
Middle East wamefanikisha sana sema muajemi ni mbishi hakubali(haiishi mpaka iishe(mwamba kakomaa))
 

Iran's Supreme Leader moved to secure location under heavy guard​


Hal Turner World September 28, 2024
Iran's Supreme Leader Moved to Secure Location Under Heavy Guard


The Ayatollah Ali Khamenei, Supreme Leader of Iran, has been moved to a Secure Location under heavy guard. This is being widely interpreted as a prelude to Iran launching attacks upon Israel in retaliation for the air-strike-murder of Hezballah Leader Sayyad Hassan Nasrallah in Beirut, Lebanon, yesterday.
Israeli Air Force planes launched a barbaric strike upon six (6) apartment blocks in downtown Beirut, Lebanon, using ground-penetrating "Bunker Buster" bombs at either 4,000 pounds or 2,000 pounds, each.
Entire apartment buildings collapsed into in piles of dusty rubble, with fires burning beneath them underground.
Hundreds of innocent families who lived in those apartment buildings are either trapped in the rubble, dying - or already dead.
This latest act of war by Israel, against Lebanon, has put the entire Middle East on the brink of war.
Israel has been waging undeclared war upon Lebanon for over a week, with air strikes against all manner of civilian targets, which Israel claims - without evidence or proof - are Hezballah weapons locations.
The air strikes came after Israel detonated pocket-pagers, cell phones, and walkie-talkies they sabotaged with explosives placed inside battery packs.
The Israeli savages, who exhibit the behavior of lowly, dirty, murderous, beasts, continue their attacks upon people in several neighboring countries, who object to the ongoing Israeli theft of Palestinian homes and land.
 
Na Israel ni taifa la Mungu haliwezi kusema uongo 😁
(Kuna watu wanaumia basi)
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.


Mazayuni na magahribi na mapoyoyo wao wanafikiri ni Hollywood movie, akifa mbabe movie imekwisha.

Ndiyo kwanza wamejigeuza pweza kujipalilia mkaa wao wenywe.
Huu wimbo wameuzoea mbona. Leta singo nyingine.
 
Back
Top Bottom