Israel yaua viongozi 11 wa jeshi la Iran, nchini Syria

Hivi vita ni vya kidini kati ya wakiristo + mayahudi dhidi ya waislam. Kila muislamu anatakiwa ajue hivyo.
Waisraeli ni wayahudi sio wakristu,ukisema ianze vita vya wakristu na waislam,waislam watapukutika maana wakristo ni wengi kwa idadi,Wana nguvu kiuchumi na technology kubwa,mfano wa nchi za kikristu ni USA,UK,FRANCE,GERMAN,CANADA na nyingine
 
Israel bana, wana nguvu, wana uwezo, wanayo nia. Na wanatekeleza.

=======

Eleven leaders of the Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC) were killed in an airstrike targeting Damascus International Airport on Thursday evening, Saudi media reported the following morning.

The commander of the Revolutionary Guards in eastern Syria, Nur Rashid, was injured in the airstrike, Saudi media channel Al-Hadath reported.

IRGC commanders were reportedly at the airport to meet with high-ranking delegates.

Source: Jerusalem Post
Wewe habari zako 90% zimethibitika ni futuhi. Sijui unazitowaga wapi?
 
Israel hakuna siku itashindwa vita, inabidi Dunia ielewe hivyo, nchi yoyote inayotafuta ugomvi na Israel ijue inatafuta kifo! Someni biblia! Israel ina ahadi nyingi kwenye biblia na hizo ahadi zinaonekana mpaka, hamna sisimizi yeyote anayefurukuta pale! Hata Tanzania tukijifanya tunawatetea hamas ni udini tu! Ila ukweli tunaujua tu
Kwahio hata hili la kupitisha wanaume na wanaume na wanawake kwa wanawake kuoana limeandikwa kwa baibo
 
Waisraeli ni wayahudi sio wakristu,ukisema ianze vita vya wakristu na waislam,waislam watapukutika maana wakristo ni wengi kwa idadi,Wana nguvu kiuchumi na technology kubwa,mfano wa nchi za kikristu ni USA,UK,FRANCE,GERMAN,CANADA na nyingine
Ingekua wingi na hayo uloyasema ndio yangekua yanaamua vita
Basi tungeona tena vita ya hamas dhidi ya israhell
Maana israhell wamewazidi hamas kila ulichokitaja hapo
Tech wingi uchumi nk
 
Israel anapiga jitu lililonyuma ya ufadhili wa magaidi machovu yanayomjaribuu.

Irani anajifichaficha dunia is isimjue kuwa ni mfadhili wa wauaji.
 
Ingekua wingi na hayo uloyasema ndio yangekua yanaamua vita
Basi tungeona tena vita ya hamas dhidi ya israhell
Maana israhell wamewazidi hamas kila ulichokitaja hapo
Tech wingi uchumi

Ingekua wingi na hayo uloyasema ndio yangekua yanaamua vita
Basi tungeona tena vita ya hamas dhidi ya israhell
Maana israhell wamewazidi hamas kila ulichokitaja hapo
Tech wingi uchumi nk
Inamaana hujuwi kuwa Hamas anajificha kwa raia? Israeli ikisema iwafagilie raia wote wa palestina itafanya kwa muda mfupi sana,tatizo palestina kwa unafiki wao wanawaficha Hamas so inakuwa ngum kuwatofautisha.Labda nikuulize katika hiyo vita ni upande upi umepata madhara zaidi ya Mali na vifo?
 
Hizi propaganda unaona sasa unavyo jichanganya
Mara mnasema wanakaa kwenye mahandaki mara wanajificha kwa raia kuna raia anaekaa chini ya handaki
Hamujui hata mnaongelea nini yaaani
Upande uliopoteza sana mpaka sasa wala sio suala lakuuliza unajulikana na kila mtu
 
Mkuu Ile vita ambayo nchi zilizomzunguka Israeli kupewa kichapo kwa pamoja umeisahau? Nakuhakikishia hakuna nchi ya kiislam inayoiweza Israeli
 
Bado unaabudu propaganda mzee mwenzangu
Yaani kama waliweza kuzipiga nchi zilizo izunguka ndani ya siku sita na unakubaliana nalo
Ila wanashindwa kuimaliza hamas ndani ya miezi mitatu
Hio propaganda iliishafeli muda sanaa la sivyo watu prove rong
Nchi ya kiislam ya nn kama hamas tu imewashinda
 
Back
Top Bottom