Israel yaua viongozi 11 wa jeshi la Iran, nchini Syria

Israel yaua viongozi 11 wa jeshi la Iran, nchini Syria

gaza inaisha ivi tukiona tu mazee dah
FB_IMG_1703622737735.jpg
 
Bado unaabudu propaganda mzee mwenzangu
Yaani kama waliweza kuzipiga nchi zilizo izunguka ndani ya siku sita na unakubaliana nalo
Ila wanashindwa kuimaliza hamas ndani ya miezi mitatu
Hio propaganda iliishafeli muda sanaa la sivyo watu prove rong
Nchi ya kiislam ya nn kama hamas tu imewashinda
Jibu swali basi mpaka Sasa kati ya palestina na Israeli wapi wamepatwa na madhara makubwa?
 
Magaidi na wafadhili wao watasakwa popote pale walipo na kushughulikiwa.
Benjamin Netanyahu alishakula kiapo
 
Israel bana, wana nguvu, wana uwezo, wanayo nia. Na wanatekeleza.

=======

Eleven leaders of the Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC) were killed in an airstrike targeting Damascus International Airport on Thursday evening, Saudi media reported the following morning.

The commander of the Revolutionary Guards in eastern Syria, Nur Rashid, was injured in the airstrike, Saudi media channel Al-Hadath reported.

IRGC commanders were reportedly at the airport to meet with high-ranking delegates.

Source: Jerusalem Post
1703941904477.png

Wameanza kuchanganyikiwa sasa na bado
 
Nilishawahi kusema na kuna watu walishawahi kusema.

Yaani ukifikiri jinsi israel inavyo nunua muda kwenye hii vita unaona kabisa kuna mtu anatafutwa.

Nilitegemea sana nchi za arabs kusaidia HAMAS imekuwa tofauti.
Nchi za kiarabu zipi ambazo ulitegemea wewe kama zingeiunga mkono hamas
Wakati zote vibaraka wa israhell kupitia shot yao United Shits Of Americant
Kama wanaotoa msaada wa moja kwa moja ni Qatar na wenyewe wasingeweza kuisaidia hamas kama ambavyo ulidhania wewe
Ambae angeweza na anaisaidia hamas ni iran pekee
Au ulitegemea misri saudia Bahrain waisaidie hamas wakati wao wenyewe mahusiano yao na hamas sio kihiiivyo
 
Israel anapiga jitu lililonyuma ya ufadhili wa magaidi machovu yanayomjaribuu.

Irani anajifichaficha dunia is isimjue kuwa ni mfadhili wa wauaji.
Labda wewe ndio hujui kama iran anaunga mkono wanaipambania uhuru
Iran ndio taifa pekee kusema hadharani kama inaunga mkono kilicho fanywa na hamas October 7 ilisema kweupeee
Iran inasema na inajulikana kama inafadhili houthi Hizbullah na pia inafadhili hamas kupitia jihadul Islamic ya hapo ghaza
Imeunga mkoni wazi wazi inachofanya houthi dhidi ya meli za wazayuni
Sasa sijui iran ipi unayosema wewe kwamba inajificha
Iran mara zote hua inaunga mkono wanaoonewa tena hua haijifichi kabisa kwenye hilo
 
Back
Top Bottom