Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hujajibu swali bado kama israhel waliweza kuwapiga mataifa ya kiarabu ndani ya siku sitaJibu swali basi mpaka Sasa kati ya palestina na Israeli wapi wamepatwa na madhara makubwa?
Wanashindwa ama wameshindwa wapi kuwapiga hamas ndani ya masaa mawili
Tena wakiwa wapo hapo hapo barazani kwao