alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,703
- 6,046
Ni vita kati ya magaidi na wapinga ugaidi.Hivi vita ni vya kidini kati ya wakiristo + mayahudi dhidi ya waislam. Kila muislamu anatakiwa ajue hivyo.
Jibu swali basi mpaka Sasa kati ya palestina na Israeli wapi wamepatwa na madhara makubwa?Bado unaabudu propaganda mzee mwenzangu
Yaani kama waliweza kuzipiga nchi zilizo izunguka ndani ya siku sita na unakubaliana nalo
Ila wanashindwa kuimaliza hamas ndani ya miezi mitatu
Hio propaganda iliishafeli muda sanaa la sivyo watu prove rong
Nchi ya kiislam ya nn kama hamas tu imewashinda
Acha iishe tu,kwani walikuwa wapi kuwakataza wenzao walioanza kurusha mabomu upande wa Israeli tena wasivyo na akili wakawa wanashangilia,ngoja wavune walichopandagaza inaisha ivi tukiona tu mazee dah
View attachment 2857425
Aiseeeee Malaria 2 pamoja Bwana Utam njooni muone hii commentMpaka Allah aishiwe bikira huko aliko ndo atajiuliza na kuelewa madhara ya ugaidi duniani.
Nilishawahi kusema na kuna watu walishawahi kusema.MK254 huu msako wa Iran kuingizwa kingi sio wa kitoto aisee.
unatakaka kusema hapa nchini hao wanaosema waislam wauliwe ni jewish ama mayahudi jibu ni hapana ikiwa hapana hao ni nani?Wakristo watoe ...!
mkuu matako😂 sijaelewa hapo?Fuatilia matamko ya jana ya kiongozi wa jeshi la iran
Hamas kawaingiza chakike wenzake bado houthi wanatafutwa taratibu
Mpaka Allah aishiwe bikira huko aliko ndo atajiuliza na kuelewa madhara ya ugaidi duniani.
Wairani watamalizwa huko syria
Israel bana, wana nguvu, wana uwezo, wanayo nia. Na wanatekeleza.
=======
Eleven leaders of the Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC) were killed in an airstrike targeting Damascus International Airport on Thursday evening, Saudi media reported the following morning.
The commander of the Revolutionary Guards in eastern Syria, Nur Rashid, was injured in the airstrike, Saudi media channel Al-Hadath reported.
IRGC commanders were reportedly at the airport to meet with high-ranking delegates.
Source: Jerusalem Post
Mm sio mkristoKwani wewe sio mkristo!
Mm ni muumini wa bikra 72 kuzimu nazihitaji kabisa.Kwani wewe sio mkristo!
Nchi za kiarabu zipi ambazo ulitegemea wewe kama zingeiunga mkono hamasNilishawahi kusema na kuna watu walishawahi kusema.
Yaani ukifikiri jinsi israel inavyo nunua muda kwenye hii vita unaona kabisa kuna mtu anatafutwa.
Nilitegemea sana nchi za arabs kusaidia HAMAS imekuwa tofauti.
Labda wewe ndio hujui kama iran anaunga mkono wanaipambania uhuruIsrael anapiga jitu lililonyuma ya ufadhili wa magaidi machovu yanayomjaribuu.
Irani anajifichaficha dunia is isimjue kuwa ni mfadhili wa wauaji.
IsrahellJibu swali basi mpaka Sasa kati ya palestina na Israeli wapi wamepatwa na madhara makubwa?
Kumbe wewe ni hamnazo!Hivi vita ni vya kidini kati ya wakiristo + mayahudi dhidi ya waislam. Kila muislamu anatakiwa ajue hivyo.