Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hujajibu swali bado kama israhel waliweza kuwapiga mataifa ya kiarabu ndani ya siku sitaJibu swali basi mpaka Sasa kati ya palestina na Israeli wapi wamepatwa na madhara makubwa?
Na Mungu ni mwaminifu kweli. Akaona nguvu kubwa ya kiuchumi ikae kwa wakristo au mataifa nje ya uislamu kama china nk. Kama uchumi ungeshikiliwa na wafuasi wa mungu wa kiarabu allah, aise dunia ingewaka moto. Maana allah anapenda kuwachonganisha watu ili wauane.Waisraeli ni wayahudi sio wakristu,ukisema ianze vita vya wakristu na waislam,waislam watapukutika maana wakristo ni wengi kwa idadi,Wana nguvu kiuchumi na technology kubwa,mfano wa nchi za kikristu ni USA,UK,FRANCE,GERMAN,CANADA na nyingine
Iran inaunga mkono yanayofanywa na hayo makundi ya jihad lakini inakana kuwa haiwasaidii kuwapa mafunzo, intelinsia na silaha. Hivyo ni kweli inajificha kwa kupugana vita kupitia hayo makundi (proxy war)Labda wewe ndio hujui kama iran anaunga mkono wanaipambania uhuru
Iran ndio taifa pekee kusema hadharani kama inaunga mkono kilicho fanywa na hamas October 7 ilisema kweupeee
Iran inasema na inajulikana kama inafadhili houthi Hizbullah na pia inafadhili hamas kupitia jihadul Islamic ya hapo ghaza
Imeunga mkoni wazi wazi inachofanya houthi dhidi ya meli za wazayuni
Sasa sijui iran ipi unayosema wewe kwamba inajificha
Iran mara zote hua inaunga mkono wanaoonewa tena hua haijifichi kabisa kwenye hilo
π π β€οΈNa Mungu ni mwaminifu kweli. Akaona nguvu kubwa ya kiuchumi ikae kwa wakristo au mataifa nje ya uislamu kama china nk. Kama uchumi ungeshikiliwa na wafuasi wa mungu wa kiarabu allah, aise dunia ingewaka moto. Maana allah anapenda kuwachonganisha watu ili wauane.
Israhell ndio nchi gani?Israhell
Hakuna sehem iran kakana kuisaidia Hizbullah kama ipo lete tuioneIran inaunga mkono yanayofanywa na hayo makundi ya jihad lakini inakana kuwa haiwasaidii kuwapa mafunzo, intelinsia na silaha. Hivyo ni kweli inajificha kwa kupugana vita kupitia hayo makundi (proxy war)
Akipigana yeye waziwazi atakabiliana na mataifa ya magharibi, na huwezi sema kirahisi tu eti ana uwezo wa kupigana nao akashinda
Ndio wanaoua watoto wa ghazaIsrahell ndio nchi gani?
Hamas walivyokuwa wanarusha makombora yao Israeli hawakujua kuwa Kuna watoto upande wa Israeli watadhurika na silaha zao?Ndio wanaoua watoto wa ghaza
Hamas hawajawahi kuua mtotoHamas walivyokuwa wanarusha makombora yao Israeli hawakujua kuwa Kuna watoto upande wa Israeli watadhurika na silaha zao?
Wanadanganywa sana hawa watuMabikra kazi wanayo huko kuzimu.
Hatar sana mkuu!! imagine Allah kakutunuku vitoto vibichiii bikra kabisa viko 72 yaani ww kazi Yako ni kuvipelekea moto tu daah ππWanadanganywa sana hawa watu
Kwa hio huko kwa Allah wao wao ni Uzinzi tu na hao mabikira πππ
Yani uzinzi ukafanyike huko peponi kwao πππ
Ajue ili ajilipue awahi mabikra zakeHivi vita ni vya kidini kati ya wakiristo + mayahudi dhidi ya waislam. Kila muislamu anatakiwa ajue hivyo.
Sasa itakuwaje bikira wakisha? Nauliza tena hao bikira huko peponi niwa race gani? Au ukiwa gaidi la kitanzania unapewa bikira Mtanzania? Au kina Osama bin laden wanajisevia dada zetu watamu wakiafrikaMpaka Allah aishiwe bikira huko aliko ndo atajiuliza na kuelewa madhara ya ugaidi duniani.
Jidanganye! Angalia usije ukasilimu then ukaenda kawe kuvamia madhabahu ya Mwamposa ili upigwe ufe ukajibebishe na mabikira 72 peponiHatar sana mkuu!! imagine Allah kakutunuku vitoto vibichiii bikra kabisa viko 72 yaani ww kazi Yako ni kuvipelekea moto tu daah ππ
Kama Kuna Ustadh namuomba aje anisilimishe PM tafadhali, I can't miss this opportunity.
Kudadadeki.... Hapo kwenye mabikra 72 mnanivuruga kabsa. Allahu AkbarAjue ili ajilipue awahi mabikra zake
Daah! Mmekaribia kuanza kutuchomea makanisa yetuHivi vita ni vya kidini kati ya wakiristo + mayahudi dhidi ya waislam. Kila muislamu anatakiwa ajue hivyo.
View attachment 2857439
Wameanza kuchanganyikiwa sasa na bado
Israel bana, wana nguvu, wana uwezo, wanayo nia. Na wanatekeleza.
=======
Eleven leaders of the Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC) were killed in an airstrike targeting Damascus International Airport on Thursday evening, Saudi media reported the following morning.
The commander of the Revolutionary Guards in eastern Syria, Nur Rashid, was injured in the airstrike, Saudi media channel Al-Hadath reported.
IRGC commanders were reportedly at the airport to meet with high-ranking delegates.
Source: Jerusalem Post
hell = kuzimu. Unaweza ukawa sahihi kwa namna fulani kwamba IDF wanayashusha kuzimu magaidi ya hamas kwa kuyaua.Ndio wanaoua watoto wa ghaza