Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

Binafsi ninapo kumbuka kuwa hao wa Palestina ni just innocent civilian like me,wanauwawa kila siku huku Dunia mzima inaangalia bila kufanya chochote,Huwa najisemea life is meaningless.

I don't even see the hand of God there helping them.
...the hand of God"...kwa watu wanaofuga wahuni?
 
Wanauwa wenzenu huko, wewe unasema wameshindwa vita.
 
Mliwaita vidume walipoishambulia Israel Oct 7 kwahiyo hayo ndio matunda ya Al aqsa floods.
 
Waziri wa ulinzi wa Israel alisema kuwa "ili dunia iweke kumbuka sawa Israel itaweka historia Kwa miaka 50 mbele Kwa kupiga kipigo cha kikatiki dhidi ya HAMAS"
Dunia haitaweza kusahau mauaji yanayofanyika Gaza kwasababu ya uchokozi wao wa kijinga dhidi ya raia wasio na hatia wa Israel.

Baada ya miezi 10 ya hii vita Hali itazidi kuwa mbaya zaidi Kwa Palestine na HAMAS pia ndiyo maana NETANYAHU ameapa kuangamiza kundi la HAMAS kama walivyoangamizwa makundi ya kigaidi ya Isis na Al caeda nchini Syria
 

Qur’an ilishamaliza kila kitu, Mayahudi na Wakristo hawatakua radhi nasi mpaka tufuate mila zao

Ndio tuyaonayo na kuyashuhudia wakifurahia mauwaji dhidi ya ndugu zetu wapalestina, Iraq, Libya, Afghanistan, Sudan n.k. usiende mbali hapa hapa Tz wasio waislamu wanaishi pamoja na waarabu/waislamu miaka na miaka lakini most of them nyoyo zao bado zimejaa chuki, roho mbaya, ukatili. In short vifua vyao vimejaa chuki.
 
Kwa nini Gaza iliishambulia Israeli na kuteka baadhi ya Wayahudi na hawataki kuwaachia?

Ni ujinga kuandika habari za kuegemea upande bila kuzitaja sababu za kwa nini mauwaji yanaendelea kati ya Palestine na Israel

Upo kishabiki na kuwatetea kwakua wewe na wao ni kitu kimoja, tofauti yake wewe ni yahudi mweusi na wao ni mayahudi weupe. Soma historia ni nani alieanza kuuwa. Israel pale ni wahamiaji, wameingia na kuikalia ardhi ya wapalestina 1947, hivyo hawajaanza leo kufanya ukatili huu.
 
My heart inahuzunika kwa wote waliopoteza maisha kwenye hii vita. I mean upande wa Israel, Palestina na mataifa waliopoteza raia wao ktk hii vita
 
Kama ulifurahia walicho fanya hamas mwaka jana basi hauna haki ya kukemea kinacho fanywa na Israel hata kama ni makosa wanacho fanya, hata hivyo vita ni vyao watajuana wao kwa wao
Israel hajaanza leo kuuwa elewa hivyo na acheni ushabiki

Nendeni mkawasaidie ndugu zenu wacongo wanaouwana kila siku ndio faida na hasara kutokua na IMANI. Ya wapalestina tuachieni sisi ndugu zao.
 
Hamas ilishambulia sio Gaza, ni sawa na Al shabaab watulipue hapa Dar alafu eti twende Mogadishu tulipue mahospitali na mashule true watoto na wamama!! Sasa inahusiana nini?
Sasa hao al shabab wakikimbilia Mogadishu unafikiri tutaenda kulipua wapi? Watakapokimbilia ni kulipua tu iwe hospital shuleni ama popote tu...
 
Gaza kichapo kiendelee hadi waachie mateka na kukubali wameshindwa vita. Kama hawafanyi hayo wapigike tuuuuu
 
Inamaana hujui kua Hamas katika kupigania kile wanachokiamini kwa mujibu wao, huwa wanajikinga na kujificha Nyuma ya raia.

Miundombinu ya umma (sehemu za ibada shule hospital masokoni nk) Ni moja ya mbinumkakati wanayotumia ili ujikinga na mashambulizi, Kwa muktadha huu huwezi ukalinganisha na kundi la alshabab.

Sasa kwa Habari hii inaonyesha mahasimu wao Israel walikua wakiwafuatilia kwa makini nyendo zao wakijua watatoka tu mafichoni kwenda kutafuta chakula, sina uhakika ila naamini shambulio hilo liliwalenga hamas walikua wamefika kupata chochote kitu.
Hamas ilishambulia sio Gaza, ni sawa na Al shabaab watulipue hapa Dar alafu eti twende Mogadishu tulipue mahospitali na mashule true watoto na wamama!! Sasa inahusiana nini?
 
Kwani October 07 na nyie si mlikua mnaandamana mitaani gaza city mnashangilia kuua wayahudi au????
Na mnatembeza uchi maiti za wanawake wa kiyahudi
 
Uchokozi gani kupigania mipaka yako? Ni sawa na kusema Nyerere alikua mchokozi kumfukuza Idd Amin kagera?
Islam and arabs mindset or state of mind......!!!
Kua myahudi hana haki pale mashariki ya kati......na hana historia ya pale kwenye aridhi ya mababu zake.
Udini mzigo
 
Hamas ilishambulia sio Gaza, ni sawa na Al shabaab watulipue hapa Dar alafu eti twende Mogadishu tulipue mahospitali na mashule true watoto na wamama!! Sasa inahusiana nini?
Sasa mkuu....Kikundi cha hamas si hao hao waarabu wa palestina ambao hawavai sare za kijeshi na wanajificha kwa raia baada ya kichapo kuwazidia na October 07 walikua wanashangilia???
Au hamas sio watu ni sokwe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…