Muislam akimua yahudi ktk hivi vita kwake furaha na yeye akiuliwa kwa sababu ya kulinda utukufu wa masjid Aqswa Anafurahi. Tofauti na nyinyi. Mkiua moto na mkifa moto
mbona allah hakuwaficha kwamba Wafuasi wake woote na majeen mtaenda motoni!
[emoji116][emoji116]
Wanaopigania jehannam Alipo mungu wao hawa hapa!
[emoji116][emoji116]
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا
(MARYAM - 71)
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
Na allah mwenyewe maskani YAKE jehannam! [emoji91]
Kama unabisha weka ushahidi Kama allah aliutoa mguu wake MOTONI! [emoji91]
[emoji116][emoji116]
Sahih al-Bukhari » Ufafanuzi wa Mtume juu ya Qur'an (Tafsiir ya Mtume (SAW)) - كتاب التفسير » Hadithi 4848
كتاب التفسير65 Ufafanuzi wa Mtume juu ya Qur'an (Tafsiir ya Mtume (SAW))
(1)Kauli ya Mwenyezi Mungu: "...Itasema (Jahannam): Je! (Mst.50:30)(1)باب {وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ}
Sahih al-Bukhari 4848
Anas alisimulia:
Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Watu watatupwa Motoni na itasema: Je! (50.30) mpaka Mwenyezi Mungu aweke mguu wake juu yake, na itasema: Qati! Qati! (Inatosha!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنَنَا شُعْبَةُ، عَنَنْ ضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ " يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَّلْ مِنٍ مَتَقُولُ هَّلْ مِنٍ مَتَحَتَحِي. دَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ".
Rejea: Sahih al-Bukhari 4848
Rejea ya ndani ya kitabu: Kitabu cha 65, Hadithi ya 369
وَلَوْ شِئْنَا لَآتَيْنَا كُلَّ نَفْسٍ هُدَاهَا وَلَـٰكِنْ حَقَّ الْقَوْلُ مِنِّي لَأَمْلَأَنَّ جَهَنَّمَ مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ
[ ASSAJDAH - 13 ]
Na lau tungeli taka tunge mpa kila mtu uwongofu wake. Lakini imekwisha kuwa kauli iliyo toka kwangu: Kwa yakini nitaijaza Jahannamu kwa wote hawa, majini na watu.
Mungu wangu Ametutumainisha Mema Wafuasi wake!
[emoji116][emoji116]
Jeremiah 29:11
[11]
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
John 14:1-3
[1]Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.
[2]Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.
[3]Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.