Israel yavamia nyumba ya mkuu wa HAMAS na kukamata familia yake

Israel yavamia nyumba ya mkuu wa HAMAS na kukamata familia yake

Sasa mbona mnalia mzayuni akiwashughulikia wakati mkifa mnaenda moja kwa moja peponi kuzawadiwa mabikira 72 wenye macho kama vikombe pamoja na mito ya
Bikra 72 kwa waislam. Ingia ktk uislam ukafaidi. Usibaki huko ukifa unaingia ktk Shimo la moto
 
Muislam akimua yahudi ktk hivi vita kwake furaha na yeye akiuliwa kwa sababu ya kulinda utukufu wa masjid Aqswa Anafurahi. Tofauti na nyinyi. Mkiua moto na mkifa moto
mbona allah hakuwaficha kwamba Wafuasi wake woote na majeen mtaenda motoni!
[emoji116][emoji116]
Wanaopigania jehannam Alipo mungu wao hawa hapa!
[emoji116][emoji116]
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

(MARYAM - 71)
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

Na allah mwenyewe maskani YAKE jehannam! [emoji91]
Kama unabisha weka ushahidi Kama allah aliutoa mguu wake MOTONI! [emoji91]
[emoji116][emoji116]
Sahih al-Bukhari » Ufafanuzi wa Mtume juu ya Qur'an (Tafsiir ya Mtume (SAW)) - كتاب التفسير » Hadithi 4848
كتاب التفسير65 Ufafanuzi wa Mtume juu ya Qur'an (Tafsiir ya Mtume (SAW))
(1)Kauli ya Mwenyezi Mungu: "...Itasema (Jahannam): Je! (Mst.50:30)(1)باب ‏{‏وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏}‏

Sahih al-Bukhari 4848
Anas alisimulia:

Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Watu watatupwa Motoni na itasema: Je! (50.30) mpaka Mwenyezi Mungu aweke mguu wake juu yake, na itasema: Qati! Qati! (Inatosha!)'"

حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنَنَا شُعْبَةُ، عَنَنْ ضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَّلْ مِنٍ مَتَقُولُ هَّلْ مِنٍ مَتَحَتَحِي. دَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏ ".
Rejea: Sahih al-Bukhari 4848
Rejea ya ndani ya kitabu: Kitabu cha 65, Hadithi ya 369
وَلَوْ شِئْنَا لَآتَيْنَا كُلَّ نَفْسٍ هُدَاهَا وَلَـٰكِنْ حَقَّ الْقَوْلُ مِنِّي لَأَمْلَأَنَّ جَهَنَّمَ مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ

[ ASSAJDAH - 13 ]
Na lau tungeli taka tunge mpa kila mtu uwongofu wake. Lakini imekwisha kuwa kauli iliyo toka kwangu: Kwa yakini nitaijaza Jahannamu kwa wote hawa, majini na watu.

Mungu wangu Ametutumainisha Mema Wafuasi wake!
[emoji116][emoji116]
Jeremiah 29:11
[11]
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

John 14:1-3
[1]Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.

[2]Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.

[3]Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.
 
Naskia wana wa Mungu wana wa israel wamelipua hospitali na kuua watu takribani 500 huko palestina....!!
 
Sema Palestina useseme Hamas. Wanaouliwa ni waislam wa Palestina ambao waislam wote duniani tupo nao
Hamas ni kikundi cha magaidi kinachotawala ukanda wa gaza.
October 7 kimeshambulia Israeli na kuua raia zaidi ya 1300 pamoja na kuteka wanawake na kisha kuwabaka na pia walichinja na kuwachoma watoto wadogo, sasa huu sio ugaidi kweli?!
Na ulitegemea Waisraeli wafanye nini baada ya kuvamiwa?
 
Ssa kama Hamas kweli wameuwa watu hao mbona wao wameshauwa raia 5000 na hawajaonesha Hamas waliyemuuwa.Si ndio ugaidi zaidi huo.
 
Hamas ni kikundi cha magaidi kinachotawala ukanda wa gaza.
October 7 kimeshambulia Israeli na kuua raia zaidi ya 1300 pamoja na kuteka wanawake na kisha kuwabaka na pia walichinja na kuwachoma watoto wadogo, sasa huu sio ugaidi kweli?!
Na ulitegemea Waisraeli wafanye nini baada ya kuvamiwa?
kuuwawa kwa wapalestina ni sawa kwa maana israel ni taifa teule la baba aliehai jinga kabisa
 
Hamas ni kikundi cha magaidi kinachotawala ukanda wa gaza.
October 7 kimeshambulia Israeli na kuua raia zaidi ya 1300 pamoja na kuteka wanawake na kisha kuwabaka na pia walichinja na kuwachoma watoto wadogo, sasa huu sio ugaidi kweli?!
Na ulitegemea Waisraeli wafanye nini baada ya kuvamiwa?
Sasa kama Hamas mbona mayahudi wanawaua mpaka kwa Mahmoud Abass. Hivi ni vita vya kidini dhidi ya Palestina waislam . Waislam wote duniani tunajua hivyo. Hizo zenu ni propaganda tu
 
Raia wa wa Palestina washa tangaziwa waondoke kupisha vita. Sawa wiliobaki ni wapiganaji ,wafia dini, wazee wasiojiweza. Vita. Kibaya zaidi Hamas anajichanya na hao
 
Raia wa wa Palestina washa tangaziwa waondoke kupisha vita. Sawa wiliobaki ni wapiganaji ,wafia dini, wazee wasiojiweza. Vita. Kibaya zaidi Hamas anajichanya na hao
Click to expand...
Sasa kama Hamas mbona mayahudi wanawaua mpaka kwa Mahmoud Abass. Hivi ni vita vya kidini dhidi ya Palestina waislam . Waislam wote duniani tunajua hivyo. Hizo zenu ni propaganda tu
 
Hamas ni kikundi cha magaidi kinachotawala ukanda wa gaza.
October 7 kimeshambulia Israeli na kuua raia zaidi ya 1300 pamoja na kuteka wanawake na kisha kuwabaka na pia walichinja na kuwachoma watoto wadogo, sasa huu sio ugaidi kweli?!
Na ulitegemea Waisraeli wafanye nini baada ya kuvamiwa?
Click to expand...
Sasa kama Hamas mbona mayahudi wanawaua mpaka kwa Mahmoud Abass. Hivi ni vita vya kidini dhidi ya Palestina waislam . Waislam wote duniani tunajua hivyo. Hizo zenu ni propaganda tu
 
Eti familia na sio mwenyewe. Mtabaki kukamata watoto wachanga.

Muislam harudi nyuma kwa hili kupigania ardhi yake
Kumbe ni Muislam ndiye anayepigania ardhi wala si tena Mpalestina ambamo pia yupo Mkristo?

Dini zingine bhana daaah...[emoji119][emoji848]
 
Back
Top Bottom