Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani

Kweli kabisa, wakristo wote waache kujipendekeza kwa mazayuni
 
Mungu wetu anaonewa sana na hawa mazayuni
 
Mitandao na janja janja za dini havijawahi kukaa pamoja na kuelewana 🤣🤣
 

Hawa ndiyo adui namba moja ya ukristo. Kwa maana walimkana na kumuua Yesu ambaye ndiye njia kweli na uzima.
 

Makristo yasiyojielewa yanaamini majahudi ndiyo taifa teule. Duu kazi ipo. Hawajui mijamaa hiyo ndiyo iliyofanya njama na kumuua Yesu Kristo ambaye yeye ndiye njia, kweli na uzima
 
wakristo hawana chuki na wayahudi na hawatawachukia, kasome vema biblia ni kwa nini wakristo hawana chuki na wayahudi

Wakristo hawana chuki na watu wote, si majahudi pekee. Licha ya kuwa walimuua Yesu ambaye ndiye njia kweli na uzima
 
Acha uwongo,wayahudi hawana mpango na wakristo kama unabisha nenda Israel kisha ukaseme hadharani kuwa Yesu aliteswa msalabani pia aliuwawa na wayahudi
Mkuu umeielewa point yangu lakini? Namaanisha ule uungwaji mkono wanaopewa kwa kigezo cha Taifa teule na wafuasi wa Kristo ambao unawapa kiburi (Free israel n.k) ungetiwa dosari na kupelekea mashabiki wao lialia kuwaona hawamjali mungu wao. Hili lingesababisha support na kelele kupungua kwasababu ukweli uko wazi kwamba israel iko pale kwasababu za kidini na sio kijamii. Wahuni wamemtumia Mungu kujinufaisha na kujilimbikizia mali huku wakitusihi sisi masikini (Afrika) tuhakikish tuaurithi ufalme wa mbinguni.
 
wakristo hawana chuki na wayahudi na hawatawachukia, kasome vema biblia ni kwa nini wakristo hawana chuki na wayahudi
Tusome wapi? Wewe uliyesoma ni wajibu wakutupa mwongozo yakinifu ukiambatanisha na ushahidi wa maandiko ni simple sana mkuu.
 
Wanaomba samahani vipi na wao tokea zamani hawamheshimu Yesu si wao ndio walio mtundika msalabani Yesu

Wakristo ni wajinga sana mbele ya wayahudi ndio sababu mpaa taifa lililo tengenezwa na Muingereza wao wanaliita taifa teule sababu ya hao wayahudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…