Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani


Baada ya kumvutisha Ganja Bikira Maria ndio wanakumbuka shuka asubuhi!!!!
Mijitu yenye kupendelea Usodoma lini yakawa na akili na kuwaeshimu wengine na Imani zao¿¿¿¿
 
Baada ya kumvutisha Ganja Bikira Maria ndio wanakumbuka shuka asubuhi!!!!
Mijitu yenye kupendelea Usodoma lini yakawa na akili na kuwaeshimu wengine na Imani zao¿¿¿¿
Wewe ni mfuga midevu na majini hilo sanamu wewe linakuhusu nini mbwa wewe?
 
Wewe mpumbavu hao wayahudi pia wanafuga ndevu,
 
Na ume4idhia wewe Mkristo! Halafu kama hujui mambo afadhali unyamaze. Lebanon kuwa na mpango huyo wa kidini katika uongozi uliwekwa na UN na wala sio Waislamu wenye siasa Kali kama unavyofikiria. Infact, Waislamu ndiyo wengu Lebanon na hata hivyo wamekubali rais awe Mkristo.
Halafu hujui uwog
Ndugu yangu, kama hujui context nyamaza kimya. Mfumo wa udini wa uongozi Lebanon uliwekwa na UN na wala si Waislamu wenye siasa Kali, kama unavyoelekea kufikiria. Infact, Waislamu, ambao ndio wengi Lebanon tangu miaka ya 70, ni wa kusifiwa kwa kukubali rais awe Mkristo wa madhehebu ya Maronite; moja ya madhehebu baguzi zaidi yenye asili ya Ufaransa.
Kukubali kwako kuomba radhi kwa Israel, ambako ndiyo ulikotaka kutueleza, kuonesha ustaarabu wao, ni dalili kuwa hujui Uzayuni wewe. Wayahudi ya Kizayuni kila siku huwatemea mate Wakristo wanatangaza dini Israel, huvunja makanisa- makanisa yote Gaza wameyavunja! Wao huamini bwana Yesu Kristo ni Masiya wa feki, na kwamba hivi sasa makazi yake ni ndani ya chungu kikubwa kilicho juu ya moto kilichojaa kinyesi kinachochemka!
Soma, acha Imani za kimajaka!
 
Ni sawa tu walivyovunja. Ibada za sanamu ni Haramu. Ni chukizo kwa Mungu

Loh! Kumbe hata wewe huelewi maana ya ibada ya sanamu!! Nawe ni miongoni mwa wanaosoma biblia kama kitabu cha riwaya?

Jipe muda wa kutosha kuisoma Biblia, halafu kwa kila verse tafuta mazingira ya tukio na mazingira ya wakati ili uelewe kilichokusudiwa.

Dokezo:
1. Unatakiwa ufahamu miungu ambayo wayahudi na mataifa jirani walikuwa wanaiabudu.
2. Mbingu kwa kadiri ya uelewa wa kale ilikuwa ni nini?
3. Wakati huo kulikuwa na miungu gani wanadamu waliitengeneza iliyofanana na vitu vilivyokuwa kwenye nchi, angani (mbingu ya kale) na katika nchi.
4. Maana ya ibada ya sanamu kwa kadiri ya ufafanuzi wa mitume.
5. Maana ya kuabudu
6. Nani alitengeneza sanduku la Agano
Halafu jiulize:
1. Je, waisrael walipolisujudia sanduku la Agano walikuwa wanaabudu sanamu?

Wewe siyo wa kwanza kuwa na tafsiri potofu juu ya ibada ya sanamu, ndiyo maana mitume walilazimika kuwaeleza wazi waumini maana halisi ya ibada ya sanamu. Biyo tafsiri uisome kwa umakini, nawe itakusaidia sana.
 
Akili zako hazina Akili bora ungekaa kimya kuficha ujinga na upumbavu ulionao!!!

Ulioandika hapo ni UHARO mtupu hakuna la ukweli hata moja na umekaririshwa na wafuga midevu na majini wa BONYOKWA kuwa huko Israel kila siku wakristo wanatemewa mate!!!

Ujinga na upumbavu huu mtauacha lini? Acheni ujinga!!
 
Tatizo lako wewe kenge hujui kati ya kutumwa na kutangaza ujumbe wa Mungu hahaha Yesu alitumwa kuwa ni Mtume kwa Wana wa Israel tu na kuithibitisha Taurati na kurekebisha njia yao sababu walipotea ndio akawambia nimetumwa kwa kondoo walio potea wa wana waisrael tu.

Kuhusu kutangaza injili kwani injili au Gospel ni ya Yesu au ni kitabu cha Mungu hahaha kenge atabaki kuwa kenge zingatia ujumbe wa msingi wanafunzi walieneza ujumbe wa imani ya Mungu mmoja tu na Yesu ni mtumishi au mjumbe wake hawakudai Yesu ni Mungu au mtoto wa Mungu aliye leta ujinga huo ni Paulo.
 
Unajidai unajua kuchamba kuliko waarabu?
 
Huyo mwanajeshi mbinguni moja kwa moja!Mungu sio sanamu"usijifanyie sanamu ua kuchonga ukaibudu"
 
Muhimu kujaji vitendo vyao vinaonesha chuki dhidi ya Ukristo

Sanamu limewakosea nn kama sio Chuki kubwa kwenye mioyo yao

yule kapiga kichwani na Sululu Sanamu la YESU !!!!

uyu mwengine kaona amvutishe Bangi. BIKIRA MARIA Mama wa YESU

Chuki yao wameshindwa kuificha

Muhimu wanajeshi wanavutaga Bangi sio sigara✅️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…