Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

Tuseme USA wameogopa, ndio wanaopiga sio Israel.
SIo kuogopa ila kwa hali ilivyo kuna mambo mengi mtu unaangalia kabla ya kuamua kupigana
Nguvu ya adui, usalama wa watu wako , budget, prioroties za kisiasa etc
Marekani yupo kwenye uchaguzi hawezi kuacha uchaguzi akapigane vita ambavyo havina faida bali upuuzi wa netanyahu
UFaransa na uingereza hawapo tayari kuingia vitani for now, covid na vita ya ukrane imewafubaza
 
We kapime akili zako kama unadhani Israel atashambulia Iran πŸ˜„
 
Israel wanajichanganya kwenda kusumbuana na Iran, huo muziki hawatouweza. Wapambane na Hamas tu.
Hamas na Hezbollah ndio tishio kwa usalama wa Israel. Madhara waliyoyasababisha Hezbolla na Hamas kwa Israel, Iran hajafikia hata robo.

Na kama ulikuwa hujui, Hezbollah was the top paramilitary group in the arab world, kwa kiswahili, Hezbollah ndio kilikuwa kikundi chenye nguvu zaidi za kijeshi katika ulimwengu wa kiarabu...

Na ndio lilikuwa tegemeo la Iran kuwadhuru wayahudi.
 
Alivyopigana na sungusungu alijiona sana
 

Tuendelee kuiombea Israel...

 
Umeisoma mada? Sasa jione ulivyojibu wewe na mada inasema nini.
 
Hahahaha nikisema kobazi akili hawana huwa namaanisha ona hili linaleta video za zamani kipindi Cha magaidi wa hamas na hao magaidi hawapo duniani hahahahaha 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wakati ule Israel imeelekeza nguvu zake Gaza huku Hizbollah akishambulia Kaskazini mwa Israel na Israel akamuweka kiporo mlisema Israel anamuogopa. Leo anashughilikwa mko kimya.

Ngoja wamalizane na Hizbollah, uone hao Waajemi watakavyopelekewa moto.
 
Huu ujinga unandika ukiwa wapi, hapo umevaa kanzu bila boxer na njaa inakupiga Basi unandika bila hata kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…