Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
- Thread starter
- #21
Haya akatuonyeshe zinavyo shuka hatutaki kelele.Israel hana za kushuka Teheran?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya akatuonyeshe zinavyo shuka hatutaki kelele.Israel hana za kushuka Teheran?
Israel wanajichanganya kwenda kusumbuana na Iran, huo muziki hawatouweza. Wapambane na Hamas tu.Halafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.
Ni bora wajikite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
SIo kuogopa ila kwa hali ilivyo kuna mambo mengi mtu unaangalia kabla ya kuamua kupiganaTuseme USA wameogopa, ndio wanaopiga sio Israel.
Time will tell. Let’s wait and see
We kapime akili zako kama unadhani Israel atashambulia Iran 😄Unaishi Ulimwengu wa wapi? Eti mashambulizi mara 2 bila majibu!! Wakati shambulio la kwanza lilijibiwa kwa kombora la ndege, likatekeza mtambo wa kurushia makombora wa Iran, na Iran hakuendelea tena.
Na hata hili shambulio la sasa, Marekani ameisihi Israel kutojibu mashambulizi, lakini Israel imegoma, na kusema ni lazima ijibu kwa mashambulio ya kuangamiza binu vya nuklia na visima vya mafuta vya Iran.
Hamas na Hezbollah ndio tishio kwa usalama wa Israel. Madhara waliyoyasababisha Hezbolla na Hamas kwa Israel, Iran hajafikia hata robo.Israel wanajichanganya kwenda kusumbuana na Iran, huo muziki hawatouweza. Wapambane na Hamas tu.
Hamas na Hezbollah ndio tishio kwa usalama wa Israel. Madhara waliyoyasababisha Hezbolla na Hamas kwa Israel, Iran hajafikia hata robo.
Alivyopigana na sungusungu alijiona sanaWaoga sana Israel. Anapigana na vikundi vya wanamgambo anajiita mbabe.
Haya kajitokeza mbabe wa kweli kamshambulia mara mbili nyumbani kwake bila majibu.
Iran ni taifa kubwa lenye silaha hatari zisizozuilika na mfumo wowote wa anga ndiyo maana karusha makombora lakini hayajazuiliwa na nchi kadhaa licha ya jitihada za kuyazuia.
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Hili Ndiyo Neno Tunatakiwa Kusimama NaloTime will tell. Let’s wait and see
We utasubiri sana kama mnavyo msubiri Yesu 😄 Israel hawezi kugusa Iran.
Leo Hamasi kamsukumizia Missiles huko Tela Aviv
View: https://youtu.be/kexnh9ECdug?si=ro8PnAsmI_sivia7
Mada umeiona lakini au ndiyo shule za kusomea ujinga?Mkuu hujui huko lebanon mambo siyo mambo, hadi sasa wanapokea miili tu ya marehemu, na walionywa hawakusikia
Umeisoma mada? Sasa jione ulivyojibu wewe na mada inasema nini.Unaishi Ulimwengu wa wapi? Eti mashambulizi mara 2 bila majibu!! Wakati shambulio la kwanza lilijibiwa kwa kombora la ndege, likatekeza mtambo wa kurushia makombora wa Iran, na Iran hakuendelea tena.
Na hata hili shambulio la sasa, Marekani ameisihi Israel kutojibu mashambulizi, lakini Israel imegoma, na kusema ni lazima ijibu kwa mashambulio ya kuangamiza binu vya nuklia na visima vya mafuta vya Iran.
Hahahaha nikisema kobazi akili hawana huwa namaanisha ona hili linaleta video za zamani kipindi Cha magaidi wa hamas na hao magaidi hawapo duniani hahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 Israel, Marekani na Ulaya hawalali kwasababu ya tishio la Iran wewe mtu wa Ngudu unasemaje?😂😂
Laiti Israel na Marekani wangekuwa na uwezo wa kuifuta Iran na kuweka vibaraka wao wasingethubutu kupoteza fursa adimu kama hiyo.
Wanajeshi wa Israel walijaribu kunusa tu mpaka wa Lebanon wamekutana na chinja chinja wamevunwa kama samaki.
Wakati ule Israel imeelekeza nguvu zake Gaza huku Hizbollah akishambulia Kaskazini mwa Israel na Israel akamuweka kiporo mlisema Israel anamuogopa. Leo anashughilikwa mko kimya.Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Dogo punguza porojo jamvini.
Watu walidhani chui kumbe chui kwenye karatasi 😄Kala kona kimya kimya😁😁😁😁😁