Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

Tuseme USA wameogopa, ndio wanaopiga sio Israel.
SIo kuogopa ila kwa hali ilivyo kuna mambo mengi mtu unaangalia kabla ya kuamua kupigana
Nguvu ya adui, usalama wa watu wako , budget, prioroties za kisiasa etc
Marekani yupo kwenye uchaguzi hawezi kuacha uchaguzi akapigane vita ambavyo havina faida bali upuuzi wa netanyahu
UFaransa na uingereza hawapo tayari kuingia vitani for now, covid na vita ya ukrane imewafubaza
 
Unaishi Ulimwengu wa wapi? Eti mashambulizi mara 2 bila majibu!! Wakati shambulio la kwanza lilijibiwa kwa kombora la ndege, likatekeza mtambo wa kurushia makombora wa Iran, na Iran hakuendelea tena.

Na hata hili shambulio la sasa, Marekani ameisihi Israel kutojibu mashambulizi, lakini Israel imegoma, na kusema ni lazima ijibu kwa mashambulio ya kuangamiza binu vya nuklia na visima vya mafuta vya Iran.
We kapime akili zako kama unadhani Israel atashambulia Iran 😄
 
Israel wanajichanganya kwenda kusumbuana na Iran, huo muziki hawatouweza. Wapambane na Hamas tu.
Hamas na Hezbollah ndio tishio kwa usalama wa Israel. Madhara waliyoyasababisha Hezbolla na Hamas kwa Israel, Iran hajafikia hata robo.

Na kama ulikuwa hujui, Hezbollah was the top paramilitary group in the arab world, kwa kiswahili, Hezbollah ndio kilikuwa kikundi chenye nguvu zaidi za kijeshi katika ulimwengu wa kiarabu...

Na ndio lilikuwa tegemeo la Iran kuwadhuru wayahudi.
 
Hamas na Hezbollah ndio tishio kwa usalama wa Israel. Madhara waliyoyasababisha Hezbolla na Hamas kwa Israel, Iran hajafikia hata robo.

IMG_20241007_113735.jpg

IMG_20241007_072816.jpg

IMG_20240508_164459.jpg
 
Waoga sana Israel. Anapigana na vikundi vya wanamgambo anajiita mbabe.

Haya kajitokeza mbabe wa kweli kamshambulia mara mbili nyumbani kwake bila majibu.

Iran ni taifa kubwa lenye silaha hatari zisizozuilika na mfumo wowote wa anga ndiyo maana karusha makombora lakini hayajazuiliwa na nchi kadhaa licha ya jitihada za kuyazuia.
Alivyopigana na sungusungu alijiona sana
 
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.

Tuendelee kuiombea Israel...

israel_gay_pride1_wide-e9db615c11cfb1785dced7dcf4e6f6203718749f.jpg
 
Unaishi Ulimwengu wa wapi? Eti mashambulizi mara 2 bila majibu!! Wakati shambulio la kwanza lilijibiwa kwa kombora la ndege, likatekeza mtambo wa kurushia makombora wa Iran, na Iran hakuendelea tena.

Na hata hili shambulio la sasa, Marekani ameisihi Israel kutojibu mashambulizi, lakini Israel imegoma, na kusema ni lazima ijibu kwa mashambulio ya kuangamiza binu vya nuklia na visima vya mafuta vya Iran.
Umeisoma mada? Sasa jione ulivyojibu wewe na mada inasema nini.
 
😂😂 Israel, Marekani na Ulaya hawalali kwasababu ya tishio la Iran wewe mtu wa Ngudu unasemaje?😂😂

Laiti Israel na Marekani wangekuwa na uwezo wa kuifuta Iran na kuweka vibaraka wao wasingethubutu kupoteza fursa adimu kama hiyo.

Wanajeshi wa Israel walijaribu kunusa tu mpaka wa Lebanon wamekutana na chinja chinja wamevunwa kama samaki.
Hahahaha nikisema kobazi akili hawana huwa namaanisha ona hili linaleta video za zamani kipindi Cha magaidi wa hamas na hao magaidi hawapo duniani hahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Wakati ule Israel imeelekeza nguvu zake Gaza huku Hizbollah akishambulia Kaskazini mwa Israel na Israel akamuweka kiporo mlisema Israel anamuogopa. Leo anashughilikwa mko kimya.

Ngoja wamalizane na Hizbollah, uone hao Waajemi watakavyopelekewa moto.
 
Huu ujinga unandika ukiwa wapi, hapo umevaa kanzu bila boxer na njaa inakupiga Basi unandika bila hata kufikiri
 
Back
Top Bottom