Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

Watu mna papara sana. Hamna subira hata kidogo.

Israel naamini inafuata timetable yake yenyewe. Haifuati timetables za watu wa mitandaoni.

Naamini itajibu kwa kufuata muda wake yenyewe.

Just watch this space….
Mbona Hamas hakuwachelewesha aliwapiga ndani ya 24 hrs tu na kuingiza jeshi Gaza.
Huko Iran nakwambia Israel hakanyagi bila msaada wa USA vinginevyo angeshaenda zamani
 
Suala la kushambulia vinu vya Nyuklia na visima vya mafuta siyo jambo jepesi. Siku Israel akifanya huo ujinga hadi wakazi wa bonyokwa mtatembea kwa miguu kwa crisis ya mafuta itakayotokea duniani.
Usitutishe tuna gesi
 
Israel wanajichanganya kwenda kusumbuana na Iran, huo muziki hawatouweza. Wapambane na Hamas tu.
Hamas ipi? Israel imeshachinja hadi vitukuu vya hamas, sasa hivi ipo beirut inamalizia usafi, the next ni iran,kila kitu kinaenda sawia.
 
Tatizo we akili zako hata kuku wanakushinda, Israel ni kwenye picture ndio anaye pigana. Ukweli ni US na Nato ndio wanao pigana na warabu, hao mashoga wamewekwa pale kama chambo tu ili US na UK maslaha yao yapatikane 😄
 
Hizi nyimbo kawadan'gan'ye kanisani 😄
 
Amka ndotoni
 
Nakubali sheikh!
Ila nikwambie tu jews wamepitia mambo mengi ukisoma historia yao hawajawahi kuishi kwa amani wao ni mapambano tu ku preserve their ancestry origin ila nashangaa wewe mndengereko baada ya miaka 100 generation yako itakuwepo?
Kinjeketile mpaka leo hatuwajui descendants wake wako wapi!
Wenzako wanapigania their existence na wapo successful ila wewe unamezwa na utamaduni wa waarabu unafurahia
 
Kilichokuwa kinamlinda Israel ni propaganda ya kuwa yeye ni invincible na sio kumtegemea Marekani, japokuwa yupo nyuma yake...ndio maana ameua wapalestina wengi kwa miaka mingi bila kuwajibishwa na yeyote hapo Middle East...Vita vya Gaza vimemuweka uchi, kwanza ground troops zake sio disciplined enough na yenye uwezo kama ilivyodhaniwa, pili Israeli amepigana vita kwa ukatili mkubwa kwa kuua hadi watoto wachanga, kupiga shule, misikiti, kambi za misaada za UN, n.k. Upigaji wa mabomu ovyo ovyo kabla ya kuingiza ground troops ni ishara ya uwoga... halafu ukiongelea nchi za NATO, ongelea Marekani tu hao wengine wako hoi kiuchumi...mchambuzi mmoja anasema kuwa kusingekuwa na vita vya Ukraine, fursa hii Marekani asingeiacha...Ila kwa sasa Marekani anao uwezo wa kupigana na Irani na kumpiga kabisa ila hayupo tayari kulipa gharama yake...na gharama yake ni kupoteza ushawishi wake hapo mashariki ya kati na labda kutoweka kwa taifa linaloitwa Israel...kumbuka kuwa Qatar na Saudi Arabia wamezidi kuwa na strategic influence Kwa foreign policy ya Marekani hapo Middle East na hivyo Marekani hataki kabisa kugombana na hao jamaa na wao wanamlinda Marekani kwa kujifanya hawaoni yanayotokea hapo Middle East, ila nao wana mipaka...Kwa kifupi ni kuwa Dunia kwa sasa ipo tofauti na tunavyoiona, toto tundu sasa kapata saizi yake, nae imebidi asite kidogo...kombora moja kupiga kabisa na Mossad HQ lazima ajitathmini kuwa adui kabahatisha au alidhamiria iwe ivyo...
 
Ssometimes najizuiaga sana kuandika habari za mashariki ya kati cause kila nikisoma michango ya watu kuhusu middle east crisis naona watu wana andika kwa mahaba sana, Wakristo watatetea Israel na Waislam wata tetra Iran, yaani ushabiki kama wa Yanga na Simba or CCM Vs Chadema. Ukienda mashariki ya kati kwenyewe kule hasa Saudia, Kuwait, Qatar nk hawasemi kama tunavyo sema huku regardless dini zao; anyway hivi ni kweli kabisa mtu unaweza kuongea kutoka moyoni mwako na akili mwako useme kwa Israeli anaihofia Iran? Real? Huyu huyu kaua wataalamu wengi wa nuclear nchini Iran, kaua kiongozi mkubwa wa Hezbollah jijini Tehran, kaua hadi rais wao kitaalamu kabisa then mbele za watu useme eti anaiogopa Iran? Hata kama ni mahaba let's be frankly on the issues. It is true, Iran karusha makombora like 2 times Israeli but madhara ya hayo mashambulizi? Vita ni hesabu, vita ni timing. Sometimes wengine huaga hawapugani kwasababu ya kuogopana, unaweza kushinda vita lakini madhara ya vita yatakurudisha nyuma miaka 50, nani anapenda hiyo?
 
iran makombora yake mengi yamezuiwa
 
Israel wanajichanganya kwenda kusumbuana na Iran, huo muziki hawatouweza. Wapambane na Hamas tu.
Kwani hamas si Iran pia au ujui Kama ni kundi lake alilolipandikiza palestina
 
Atarudi kufanya show ya kibabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…