figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali.
Ufutaji wa uchifu ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa. Nchi zingine Za Afrika (kmNigeria, Ghana nk) wamepata shida kujenga umoja wa kitaifa. Sababu mojawapo ni machifu kulinda himaya zao kwa kukuuza ukabila badala ya utaifa. Tunachotakiwa kusisitiza ni utamaduni wa kitaifa.
Issa G. Shivji ni mwanasheria nchini Tanzania na mwandishi wa Vitabu, pia ni mmoja wa wataalamu bingwa katika Afrika wa sheria na masuala ya maendeleo.
Pia amewahi kufundisha na kufanya kazi katika vyuo vikuu mbalimbali duniani kote.
Professor Issa Shivji ni kati wa wasomi wachache ambao taifa hili limebarikiwa kuwa nao
Kati wa wasomi wachache ambao taifa hili limebarikiwa kuwa nao, huyu Prof. ni miongoni mwa wasomi adimu waliobaki hapa nchini Isome hii tweet yake, linganisha na Hali halisi ya nchi yetu kwa Sasa. ==== SAMAKI NYAVUNI samaki nyavuni uhuru gerezani akili pinguni matumaini rehani hoja...
Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?
Wataalam hebu mtudadavulie alikuwa anamaanisha nini huyu msomi. Mara nalia mara nacheka, mara nahuzunika mara nafarajika, mara naota mara nawaza, mara nafurahi mara najuta, mara nashangiliwa mara nazomewa, wahenga mnisaidie niko wapi, nchi gani baharini au barani ardhini au mbinguni, wahenga...