Machief hawana nguvu kwa kizazi cha sasaNinachokiona ni kwamba CCM watawatumia machifu kuhakikisha wanaingizanseranzao kupitia machifu wakati wa uchaguzi ili waendelee kutawala.
Imagine kama Rais ndio wamemfanya mkuu wa wao maana yake wako tayari kupokea maelekezo kutoka kwake hii imekaa kimtego sana.
Sasa hivi unatusaidia tupate Raisi wa Ma chifu sio walio wengiView attachment 2091277
Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali.
Ufutaji wa uchifu ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa. Nchi zingine Za Afrika (kmNigeria, Ghana nk) wamepata shida kujenga umoja wa kitaifa. Sababu mojawapo ni machifu kulinda himaya zao kwa kukuuza ukabila badala ya utaifa. Tunachotakiwa kusisitiza ni utamaduni wa kitaifa.
Issa G. Shivji ni mwanasheria nchini Tanzania na mwandishi wa Vitabu, pia ni mmoja wa wataalamu bingwa katika Afrika wa sheria na masuala ya maendeleo.
Pia amewahi kufundisha na kufanya kazi katika vyuo vikuu mbalimbali duniani kote.
Professor Issa Shivji ni kati wa wasomi wachache ambao taifa hili limebarikiwa kuwa nao
Kati wa wasomi wachache ambao taifa hili limebarikiwa kuwa nao, huyu Prof. ni miongoni mwa wasomi adimu waliobaki hapa nchini Isome hii tweet yake, linganisha na Hali halisi ya nchi yetu kwa Sasa. ==== SAMAKI NYAVUNI samaki nyavuni uhuru gerezani akili pinguni matumaini rehani hoja...www.jamiiforums.com
Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?
Wataalam hebu mtudadavulie alikuwa anamaanisha nini huyu msomi. Mara nalia mara nacheka, mara nahuzunika mara nafarajika, mara naota mara nawaza, mara nafurahi mara najuta, mara nashangiliwa mara nazomewa, wahenga mnisaidie niko wapi, nchi gani baharini au barani ardhini au mbinguni, wahenga...www.jamiiforums.com
😁😁😁Sisi ma chief lazima tuheshimiwe, utaka V8 apande pole pole peke yake?
Kama Bunge lilikaa na kutunga sheria kisha rais akaipitisha na kuondoa kabisa shughuli za machifu. Nini nyuma ya pazia Chief Hangaya awag'ag'anie. Kuna kitu juu hii kitu. Huku ni kuvunja sheria.View attachment 2091707
Acha ukihiyo S.A. unajua ina makabila mangapi?Botswana?(ufinyu wako unajua ni seswana tu!)nchi zote hizo zina makabila zaidi ya unavyofikiriaUnaongelea nchi zenye makabila mawili au matatu tu.
MaCCM ndivyo yalivyo akili zao hazina akili.mama kalizua tena. akili kubwa wanaangalia mbele mbali,akili za kuunga unga anaangalia mwisho wa kivuli
mama kalizua tena. akili kubwa wanaangalia mbele mbali,akili za kuunga unga anaangalia mwisho wa kivuli
Hutakiwi kuwa na nchi inayojisema kwamba ni Jamhuri yenye watu sawa, halafu bado ukawa na vyeo vya uchifu vya kurithimishana.Hili mimi sikubaliani nalo ni siasa tu,hebu angalia hizi nchi jirani yetu,Zambia,Namibia,Botswana,SA etc etc bado zina viongozi wao wa asili na zipo na umoja na kimaendeleo wapo mbali mno kuliganisha na sisi,tuacheni maneno maneno tujenge nchi kwa misingi ya kisheria,fumua na ondoa KATIBA hii na tutengeneze KATIBA ya wananchi SIO politicians.
Leo hii Hangaya anaona ndiyo wa kwamza kuukwaa huo uchifu.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2091277
Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali.
Ufutaji wa uchifu ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa. Nchi zingine Za Afrika (kmNigeria, Ghana nk) wamepata shida kujenga umoja wa kitaifa. Sababu mojawapo ni machifu kulinda himaya zao kwa kukuuza ukabila badala ya utaifa. Tunachotakiwa kusisitiza ni utamaduni wa kitaifa.
Issa G. Shivji ni mwanasheria nchini Tanzania na mwandishi wa Vitabu, pia ni mmoja wa wataalamu bingwa katika Afrika wa sheria na masuala ya maendeleo.
Pia amewahi kufundisha na kufanya kazi katika vyuo vikuu mbalimbali duniani kote.
View attachment 2091732
Professor Issa Shivji ni kati wa wasomi wachache ambao taifa hili limebarikiwa kuwa nao
Kati wa wasomi wachache ambao taifa hili limebarikiwa kuwa nao, huyu Prof. ni miongoni mwa wasomi adimu waliobaki hapa nchini Isome hii tweet yake, linganisha na Hali halisi ya nchi yetu kwa Sasa. ==== SAMAKI NYAVUNI samaki nyavuni uhuru gerezani akili pinguni matumaini rehani hoja...www.jamiiforums.com
Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?
Wataalam hebu mtudadavulie alikuwa anamaanisha nini huyu msomi. Mara nalia mara nacheka, mara nahuzunika mara nafarajika, mara naota mara nawaza, mara nafurahi mara najuta, mara nashangiliwa mara nazomewa, wahenga mnisaidie niko wapi, nchi gani baharini au barani ardhini au mbinguni, wahenga...www.jamiiforums.com
Huyu mama asipokuwa na muda wa kujiongeza hao waliomzunguka wananampoteza kabisa .mama kalizua tena. akili kubwa wanaangalia mbele mbali,akili za kuunga unga anaangalia mwisho wa kivuli
Kwa watawala waliopo ukiwaambia habari za katiba mpya wanakuona kama unataka kuwatumbukiza kwenye mto wenye mamba wenye njaa kali.Hili mimi sikubaliani nalo ni siasa tu,hebu angalia hizi nchi jirani yetu,Zambia,Namibia,Botswana,SA etc etc bado zina viongozi wao wa asili na zipo na umoja na kimaendeleo wapo mbali mno kuliganisha na sisi,tuacheni maneno maneno tujenge nchi kwa misingi ya kisheria,fumua na ondoa KATIBA hii na tutengeneze KATIBA ya wananchi SIO politicians.
Kuna mambo ambayo inatubidi tumsamehe mwl JK Nyerere maana aliichukua nchi wakati dunia bado ipo mbali mbali.wengi hawaoni mbali, hata mwalimu nae baadhi ya mambo hakuona mbali mfano katiba.
Hili mimi sikubaliani nalo ni siasa tu,hebu angalia hizi nchi jirani yetu,Zambia,Namibia,Botswana,SA etc etc bado zina viongozi wao wa asili na zipo na umoja na kimaendeleo wapo mbali mno kuliganisha na sisi,tuacheni maneno maneno tujenge nchi kwa misingi ya kisheria,fumua na ondoa KATIBA hii na tutengeneze KATIBA ya wananchi SIO politicians.