Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kufeli kwa Aziz Ki huko Wydad Casablanca maana yake HAWEZI kabisa kucheza Simba maana Simba kwa viwango vya ubora Afrika Iko juu sana kwa Wydad Casablanca. Poleni sana wale "wenye mchezaji" wao! Ahahahahaha!!Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Ligi ya kuandaliwa mazingira ndio maana tunamuona mzuriKwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Amefeli kwa sababu kocha aliemtaka ameondolewa kwenye timu ndie anajua angemtumia vipi, matokeo yake amekutana na kocha asiejua thamani yake na hivyo kutokua chaguo lake kutokana na pengine mfumo wake anaokusudia kufundisha.
Wanashusha vipaji Aziz kajifelisha makusudi tuMademu wa kibongo sio
kwani wale thembinkos lorch na mailula ni wanarangi gani?, KiAzi Z kiwango chake ni cha chiniToa ujinga wako unaweza uka access kiwango cha mtu ndani ya dakika 23
Unajua maana ya ubaguzi wa rangi..
huyo athumani mwalimu ndo yupi kwani?Kwani Athuman Mwalimu katoka ligi gani?
Kolokwinyo unaumia kusikia Azizi K anarudi Yanga.
sofyan amrabat anacheza wydad. Nani mbumbumbu kati yako wewe na yeyeWewe mbumbumbu kwa hio Sofyan Amrabat nae kafeli?
Akikujibu nitagUlitaka akuwaze wewe?
Hapa ndio bongo....ukija na ushamba utalima lamiWanashusha vipaji Aziz kajifelisha makusudi tu
Hii post mbona imekaa koshabiki sana?Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Aziz kacheza TZ miaka 3.walishamtazama toka mazoezini na hizo dk 23 tayari wakathibisha ni mzigo.. mahaba yakizidi unakuwa ujinga!
Kabebwa na siasa za Wanayanga badly huko Morocco life is so serious no dramaKwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Uko sahihi kabisa, nashangaa watu humu walivyo furahia jamaa kutemwa hii inaonesha jinsi Watanzania tulivyo na roho za wivu kwa mtu aliyefanikiwa au kukuzidi na jamaa kibongo bongo ni mtu mwenyewe maisha mazuriAmefeli kwa sababu kocha aliemtaka ameondolewa kwenye timu ndie anajua angemtumia vipi, matokeo yake amekutana na kocha asiejua thamani yake na hivyo kutokua chaguo lake kutokana na pengine mfumo wake anaokusudia kufundisha.
Soka lenu la kina tatu mwalogoBora hata Luis Miquissone, Tuisila Kisinda na Clatous Chama walikaa Kaa huko ughaibuni walikoenda. Huyu Aziz Ki imekuwa aibu kuu kwa soka letu.
Haya ni maumivu ya kipigo cha goli 5 au ni hizi mbili za juzi ? au vyote kwa pamoja?Yanga wamem? uuza Aziz kitapeli tapeli tu, wachezaji wa Yanga mpaka wachomwe sindano za dawa za kuongeza nguvu ndio wanakimbia uwanjani huko uarabuni hakuna ujanja ujanja its about run run run with ball