Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

Yanga wamemuuza Aziz kitapeli tapeli tu, wachezaji wa Yanga mpaka wachomwe sindano za dawa za kuongeza nguvu ndio wanakimbia uwanjani huko uarabuni hakuna ujanja ujanja its about run run run with ball
Na nyie Mazuzu chomeni mkimbie
 
Kwenye michuano hii, timu nzima ya Wydad imefeli.
 
Utamlazimisha kocha kumpanga mchezaji asiye muhitaji? Bila shaka huwezi.
Ilikua vipi Kibwana kwa Gamond? Na alipoondoka ikawaje kwa kocha aliyemrithi?
The same to Kibu kwa kocha wa OBJECTIVE FOOTBALL yule alikula 5-1 na mtangulizi wake.
Wewe ukiona Cha nini mwenzako anasema nitakipata lini.
Wewe ukiona keki wenzako wanaona mavi tu, maisha ndivyo yalivyo.
 
Kufeli ni Kufeli tu. Unaweza kuzunguka zunguka kwamba alikuwa na wiki 3, oh alicheza dk 23.

Mchezaji mzuri touch ya kwanza tu utamjua kuwa hii ni Mali...
 
Kafeli kwenye nini tena?
 
Uko sahihi kabisa, nashangaa watu humu walivyo furahia jamaa kutemwa hii inaonesha jinsi Watanzania tulivyo na roho za wivu kwa mtu aliyefanikiwa au kukuzidi na jamaa kibongo bongo ni mtu mwenyewe maisha mazuri
Utopolo walisema wamepiga bil.2.5 za Waydad kumbe zilikuwa drama tu,Karibu sana Aziza Ki uendelee kupiga push up kifuani Mwa Mobeto mpira umekushinda
 
Kama kawaida. Mtanzania ukimletea ''failure'' na yeye anakuletea ''failure'' ili kuonyesha kuwa yuko sahihi. Kwa nini hatuangalii kesi kwa kesi?
 
Sisi ni mediocre kwenye kila kitu, mchango wetu ni mdogo sana kwa maendeleo ya dunia, tunachangia zaidi mbolea ya samadi!
 
Amefeli kwa sababu kocha aliemtaka ameondolewa kwenye timu ndie anajua angemtumia vipi, matokeo yake amekutana na kocha asiejua thamani yake na hivyo kutokua chaguo lake kutokana na pengine mfumo wake anaokusudia kufundisha.
Good thinking
 
Mkuu Kuna uzi humu unajirudia rudia Sana unaitwa Nini sijui kihasibu hasara y
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…