Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

Kufeli ni Kufeli tu. Unaweza kuzunguka zunguka kwamba alikuwa na wiki 3, oh alicheza dk 23.

Mchezaji mzuri touch ya kwanza tu utamjua kuwa hii ni Mali...
Kama nyie ndio mnasajili Simba, tengeni fungu zaidi la kununua marefa msimu ujao.
 
Huyu si walituaminisha kwamba hata Ahly pale anaanza kikosi cha kwanza iweje afeli kucheza Wydad hata kwa kukaa benchi?
 
Alikuwa kwa mkopo wa miezi miwili usio na malipo wakati anaangaliwa uwezo wake akifit ili waweze kulipa pesa waliokubaliana
Hilo la bila malipo na mkopo umelitoa wapi?

Kwanini wabongo mmekuwa mazuzu hivi?
 
Hilo la bila malipo na mkopo umelitoa wapi?

Kwanini wabongo mmekuwa mazuzu hivi?
Ndiyo hali halisi ilivyo alitolewa kwa mkopo wa majaribio kwa miezi hiyo miwili akijaribiwa ili akifanikiwa basi anunuliwe kwa kiasi walichokubaliana...kama sio sahihi tuambie alikuwa au alienda kama mchezaji huru?
 
Ndiyo hali halisi ilivyo alitolewa kwa mkopo wa majaribio kwa miezi hiyo miwili akijaribiwa ili akifanikiwa basi anunuliwe kwa kiasi walichokubaliana...kama sio sahihi tuambie alikuwa au alienda kama mchezaji huru?
Leta ushahidi.

Mnabweka kama mapaka shume.

Stupid
 
Duh, kufeli mbona jambo La Kawaida?

Isipokuwa jambo la msingi ni kutokana na Kufeli, sisi tunajifunza nini?
 
Reactions: Tsh
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni hazina ya taifa na kielelezo cha uongozi wa kisasa unaojengwa juu ya hekima, uvumilivu na maono ya mbali. Ni kiongozi ambaye anasimamia misingi ya haki, usawa na maendeleo ya watu wote bila ubaguzi. Ujasiri wake
 
Nauliza pia; Kufanikiwa kwa Seleman Mwalimu Wydad tafsiri yake ni nini kwenye soka letu?
 
Leta ushahidi.

Mnabweka kama mapaka shume.

Stupid
Wewe ndiyo ulipaswa kutoa ushahidi kabla ya kudai ushahidi ili kuninyamazisha toa ushahidi wako kwanza
 
Mama anapokanyaga ardhi ya mataifa, anabeba heshima ya Tanzania, anatangaza amani, na anaonyesha uongozi wa hekima unaoheshimika kimataifa. Ziara yake ni ishara ya mshikamano wa kweli wa Afrika.
#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
 
Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya.

Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063.

Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru.

#TikiKwaSamia
 
Afeli mpuuzi mmja harafu eti lifeli soka letu? Huna maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…