Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

niuzie hiyo bighorn
 
Mkuu hizo Isuzu Bighorn kuchoma kwake heater kupoje? Ni kama vile unavyochoma Hilux Surf zenye 2L-TE? Kwamba unawasha mpaka kwente switch on unaisikilizia alarm(heater imeshachomwa) ilie ndo unapiga ili gari iwake?
 
Sasa mkuu umeweza kununua gari milioni 37 unashindwaje kuagiza engine ya gari ukauziwa hata $1200? Mjini shule mkuu shamba kilimo hio engine yake bei ndo hio hapo unaongea tu na supplier anakutafutia agent anabook meli au unamwambia tu akupelekee silent ocean dubai unasubiria chuma chako



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…