Mkuu kumuelimisha chizi utaonekana wewe ndiye chizi, achana naye, ni ushauri tuHuu mfano uliotoa hapa unaonesha wazi ufahamu mdogo ulionao kuhusu mambo unayojitahidi kujifanya unayajua. Labda kwa taarifa yako tu, risasi inakotokea inaweza kutoboa ukubwa wowote kutegemeana na kaliba ya Bunduki, umbali, aina ya risasi na eneo la kifua.
Not relevantKwa reasoning hii, tunaweza kusema pia kwamba mtu akitumia kisu vibaya - viwanda vinavyotengeneza visu vifungwe, mtu akiendesha gari vibaya na kusababisha ajali na vifo utaomba viwanda vya kuzalisha magari vifungwe etc. Kweli?
TCRA wana mamlaka ya kufanya shughuli zao nje ya Tanzania? Kwa humu ndani wanaweza mkuu tena waanze na JF. Tujisajiri kwa kutumia kitambulisho cha NIDA. Hata kama user name ni nyingine lakini kitambulisho cha NIDA kitumike.Hakuna sababu zozote za msingi kwa TCRA kufungia mtandao wowote ule. TCRA wanachotakiwa kufanya ni huzimudu/kuhakiki utumiaji wa mitandao. Mosi mitandao yote lazima wafanye verification ya watumiaji. Kuondoa majina ya bandia ndio suluhisho. TCRA wawe na power ya kuwaambia watoaji huduma kutoa Majina sahihi ya watumiaji. Mbona Europe na USA wamefanikiwa. Huwezi kupotosha ukaachwa. TCRA amkeni nchi haiwezi kwenda mbele wakati wapo wapotoshaji wengi ambao wanatumia majina bandia kwa maslahi yao binafsi.
Mkuu kama hujui jambo ni vyema ujifunze kwanza. Nasikitika Kwamba mafunzo JKT sasa sio ya lazima. Ni kweli kwamba ya kale hayapo.Mfano hata kama mtu amepigwa risasi hivi kweli risasi inaweza kutoboa kifua cha mtu tundu la nchi nne?
Genta ni mwana CCM lkn sio wale CCM oya oya hawana lolote wanachojua zaidi ya ushabiki kama wana CCM wote wangekuwa kama Genta ingekuwa nchi ina umoja.Japo huyo jamaa GENTAMYCINE kwasasa sikubaliani naye lakini ni mmoja wa watu ambao kiasi flani wanajielewa, alishasema yeye ni kada wa ccm lakini ccm hiyo hiyo ikikosea au Jiwe akikosea huwa anamsema/kumkosoa kwa staha, sasa sijajua kwa nini umemwita hivyo. Angalizo simtetei kwa lolote ila nimesema ukweli japo mimi na yeye tuna itikadi tofauti
Jibu swali nililouliza acha maneno mengi, mtu kapigwa risasi inaweza kuweka tundu la nchi nne? Acha ufala...Mkuu kama hujui jambo ni vyema ujifunze kwanza. Nasikitika Kwamba mafunzo JKT sasa sio ya lazima. Ni kweli kwamba ya kale hayapo.
Mimi nna mawazo ya ziada.Hakuna sababu zozote za msingi kwa TCRA kufungia mtandao wowote ule. TCRA wanachotakiwa kufanya ni huzimudu/kuhakiki utumiaji wa mitandao. Mosi mitandao yote lazima wafanye verification ya watumiaji. Kuondoa majina ya bandia ndio suluhisho. TCRA wawe na power ya kuwaambia watoaji huduma kutoa Majina sahihi ya watumiaji. Mbona Europe na USA wamefanikiwa. Huwezi kupotosha ukaachwa. TCRA amkeni nchi haiwezi kwenda mbele wakati wapo wapotoshaji wengi ambao wanatumia majina bandia kwa maslahi yao binafsi.
Cybercrimes Act,2015 section 6(1) inataka mtumie public servers ambazo Tcra wanazimonitor. Kutumia za nje ni illegal interception. Ngoja wafanyie kazi maoni yangu mtaona cha moto.Mimi nna mawazo ya ziada.
1. Sheria ya mitandao iboreshwe na hao ISPs na wale wa private wote wadhbitiwe na sheria.
Ukiweka sheria basi unakuwa safe.
2. Tanzania iamue naiwekeze katika kuwa na Servers zetu wenyewe badala ya kutumia servers za nchi zingine.
Hiyo itatufanya tuwe na sauti kama "sovereign country" na itatufanya tuweze kudhibiti matumizi ya internet kwa kuweka Filters na mambo mengine.
Teknolojia hizi wanazo nchi kama China na Russia.
Kukiwa na matatizo au dharura basi nchi inakata mawasiliano na dunia mara moja na kwa kipindi fulani.
3. Sheria ya mtandao (kupitia TCRA) iwaelekeze watoa huduma su ISPs na wale wa VPN wawe na kifaa kiitwacho DPI ambacho kina uwezo wa kutambua traffic yatokea wapi ni kuchuja, hivyo watumiaji wa mitandao wanaweza kuendelea kutumia mitandao bila bughudha.
Yakifuatwa masuala kama haya basi kutakuwepo na udhibiti tabia ya kutoheshimu mamlaka na pia upotoshaji wa kutoa taarifa ambazo hazik osawa yaani "fake news" na "misinformation".
Kuwa JPM anatumia Twitter sio sababu ya kuruhusu upuuzi ,matusi, na upotoshaji wa watu wanaokaa ughaibuni. Aachane na Twitter kama ni salamu awe au jambo lolote atumie njia za kiofisi, Twitter sio official.
Kijana nataka unijibu Twitter ni njia official ya kufanya kazi kidiplomasia? Unajua mimi nimezaliwa kabla yako!Ww utakuwa ni mzee lazima, hizi sio enzi za typewriter, ww baki ukisoma magazeti ya uhuru na kuangalia TBC1. Kule twitter watu tuna account zetu na tunamwaga ukweli wote.
Cybercrimes Act,2015 section 6(1) inataka mtumie public servers ambazo Tcra wanazimonitor. Kutumia za nje ni illegal interception. Ngoja wafanyie kazi maoni yangu mtaona cha moto
Kijana nataka unijibu Twitter ni njia official ya kufanya kazi kidiplomasia? Unajua mimi nimezaliwa kabla yako!
Lila na fira havitengamani. Kama mtu kapigwa risasi ndio kifua kipasuke nchi nne? Risasi ina 9 mm? Kijana tumia akili mnapokuwa huko Twitter,leo tunaomba dua na Mzee Shomari Twitter ifungwe,Vpn zipigwe kibano!Ni hivi, hata wakifungia mitandao bado tuna uwezo mkubwa wa technologia, na ukweli utasambaa tu. Kama lengo lako ni kutaka ukweli ufichwe, na watu wote kusifia basi umebug men