Mkuu kumuelimisha chizi utaonekana wewe ndiye chizi, achana naye, ni ushauri tuHuu mfano uliotoa hapa unaonesha wazi ufahamu mdogo ulionao kuhusu mambo unayojitahidi kujifanya unayajua. Labda kwa taarifa yako tu, risasi inakotokea inaweza kutoboa ukubwa wowote kutegemeana na kaliba ya Bunduki, umbali, aina ya risasi na eneo la kifua.