Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

Unakumbuka kilichompata Faustine Ndugulile na msimamo wa waziri wake (yule mama) baada ya kupatwa kwa Ndugulile? Hao wanafanya kile kinachompendeza aliye wateau. Hawajali mustakabali wa wananchi waliowatuma. Nani atawatoa hapo? Kilangila.
 
Tunataka wasomi wasimamie taaluma zao kumwambia mkuu wa nchi kuwa kisayansi hakiwezekani. Sio kusapoti yasiyowezekana.
 
Inakusanya kodi na inawajibu. Lazima ipigiwe kelele. Kama haitaki kelele za sisi tulioiweka ijiuzulu kwa kushindwa kutimiza wajibu wake. Simple.

rubbish, ndo maaana ccm itaendelea kuwepo miaka 100
 
Kimdudu kipo ndani sasa, kimepiga Ikulu zote kwa mpigo... lazima akili zikae sawa sawa!
 
huu ugonjwa kama unatisha hivyo basi hatupaswi kuwa na muda wa kuzurura mijini na kufanya matamasha na mikutano.
 
Kisha wewe unanufaika na nini zaidi ya fulana na kofia!

nlishawahi enda kwenye kampeni moja tu na ilikua ya lowasa kipindi kahamia upande wa pili na nlichokua naskia ni pipoz pipoz tu! toka hapo sina ham tena na upinzani wa nchi hii, na mapungufu ya ccm ila bado wana afadhali mara 1000 na ndo nmehamia mazima
 
Isubirie racorona maana ni zamu yako
 
Isubirie racorona maana ni zamu yako

according to WHO sipo kwenye list ya watu walio na tahadhari ya kufa na corona maybe some other disease, naenda na maisha kawaida haswa upande wa uchumi nyie endeleeni na siasa
 
according to WHO sipo kwenye list ya watu walio na tahadhari ya kufa na corona maybe some other disease, naenda na maisha kawaida haswa upande wa uchumi nyie endeleeni na siasa
Hutoweza kuiepuka ipo nawe tu maana umeibeza sana
 
Umeonaeee? Usishangae hata mlo mmoja wa siku unamshinda lkn bado anashangilia mambo ya kijinga

duuu! dunia nzima kuna $75 trillion kwenye mzunguko, yaani nishindwe kupata hata $500 kwenye hizo trillion zote sasa ntakua nmekuja kufanya nn duniani? federal reserve wanachapisha $500M kila sku moja, vitabu vipo vya kutosha, internet ipo nishindwe kusoma kutoboa kwenye haya maisha?
 
then wacheni cheap politics, mnajua kabisa lock down is impossible sasa kelele za nn? unataka serikali ifanye nn? hata magufuli akismama akasema watu wamekufa na corona then whats next?
Kwani ni lazima lockdown mzee baba!? Nchi kibao hawajalockdown na kuna corona ila wanawaambia raia wao ya kuwa covid-19 ipo nchini mwetu,vaeni barakoa,naweni mikono na epukeni mikusanyiko isiyo ya lzm.
Nalog off
 
Hutoweza kuiepuka ipo nawe tu maana umeibeza sana

ndo maaana ya kutokua kwenye risk, au huelewi ndo maaana kuna wanaoumwa wanapona, na kuna wengine itawapata kawaida lakini hawatapata effects zozote ama signs na watapona bila wao kujua!
 
Kwani ni lazima lockdown mzee baba!? Nchi kibao hawajalockdown na kuna corona ila wanawaambia raia wao ya kuwa covid-19 ipo nchini mwetu,vaeni barakoa,naweni mikono na epukeni mikusanyiko isiyo ya lzm.
Nalog off

kwan magufuli hajasema ilo?
 
Back
Top Bottom