Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka wasomi wasimamie taaluma zao kumwambia mkuu wa nchi kuwa kisayansi hakiwezekani. Sio kusapoti yasiyowezekana.Unakumbuka kilichompata Faustine Ndugulile na msimamo wa waziri wake (yule mama) baada ya kupatwa kwa Ndugulile? Hao wanafanya kile kinachompendeza aliye wateau. Hawajali mustakabali wa wananchi waliowatuma. Nani atawatoa hapo? Kilangila.
Inakusanya kodi na inawajibu. Lazima ipigiwe kelele. Kama haitaki kelele za sisi tulioiweka ijiuzulu kwa kushindwa kutimiza wajibu wake. Simple.
Kibwetere wakubwa nyinyi
Tunataka wasomi wasimamie taaluma zao kumwambia mkuu wa nchi kuwa kisayansi hakiwezekani. Sio kusapoti yasiyowezekana.
na uchaguzi ujao hakikisheni mnasusia mpaka mnyooke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kisha wewe unanufaika na nini zaidi ya fulana na kofia!
Kibweterena uchaguzi ujao hakikisheni mnasusia mpaka mnyooke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeonaeee? Usishangae hata mlo mmoja wa siku unamshinda lkn bado anashangilia mambo ya kijingaKisha wewe unanufaika na nini zaidi ya fulana na kofia!
Isubirie racorona maana ni zamu yakonlishawahi enda kwenye kampeni moja tu na ilikua ya lowasa kipindi kahamia upande wa pili na nlichokua naskia ni pipoz pipoz tu! toka hapo sina ham tena na upinzani wa nchi hii, na mapungufu ya ccm ila bado wana afadhali mara 1000 na ndo nmehamia mazima
Mbona mnaleta utani kwenye mambo ya msingi jamani? duuuuh.............huyo bwana mkubwa hana washauri na statistics ya sisi watanzania wengi akiri hamna hivyo ni shida tupu..🙄🙄🙄🙄Ukikaa nchale, ukisimama nchale 😂
Isubirie racorona maana ni zamu yako
Hutoweza kuiepuka ipo nawe tu maana umeibeza sanaaccording to WHO sipo kwenye list ya watu walio na tahadhari ya kufa na corona maybe some other disease, naenda na maisha kawaida haswa upande wa uchumi nyie endeleeni na siasa
Umeonaeee? Usishangae hata mlo mmoja wa siku unamshinda lkn bado anashangilia mambo ya kijinga
Kwani ni lazima lockdown mzee baba!? Nchi kibao hawajalockdown na kuna corona ila wanawaambia raia wao ya kuwa covid-19 ipo nchini mwetu,vaeni barakoa,naweni mikono na epukeni mikusanyiko isiyo ya lzm.then wacheni cheap politics, mnajua kabisa lock down is impossible sasa kelele za nn? unataka serikali ifanye nn? hata magufuli akismama akasema watu wamekufa na corona then whats next?
Hutoweza kuiepuka ipo nawe tu maana umeibeza sana
Kwani ni lazima lockdown mzee baba!? Nchi kibao hawajalockdown na kuna corona ila wanawaambia raia wao ya kuwa covid-19 ipo nchini mwetu,vaeni barakoa,naweni mikono na epukeni mikusanyiko isiyo ya lzm.
Nalog off