Daviie
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,294
- 1,480
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutajua hatujuiUkikaa nchale, ukisimama nchale [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutajua hatujuiUkikaa nchale, ukisimama nchale [emoji23]
Madiwani walichukua tahadhali wakavaa barakoa kwenye mkutano huko Kilimanjaro, kiongozi mteule wa raisi akawaamuru wazifue barakoa au watoke kwenye mkutano. Madiwani wakavua barakoa. Taarifa zilimfikia aliyeteua, hakuchuchua hatua. Kama hawa madiwani wa CCM, walikwamishwa kuchukua tahadhali, raia wa kawaida wataweza? Kilangila.si alishasema mchukue tahadhari ama hukuskia? hii nchi bana sjui tutaendelea lini, afya ni ya kwako unasubiria serikali????? ndo tumefikia apa kama nchi
🤣😂😂 Misimamo huko nyuma ina tatizo?🤣😂🤣.Kati ya watu wa hovyo, wewe ni mmoja wapo.
Nasema hivyo kwa sababu misimamo yako uliyoionyesha humu JF tokea huko nyuma inajulikana.
Kwa nini sasa uwatake watu ambao hawana mamlaka yoyote juu ya huyo unayesema wanamshauri, ndio uwabebeshe lawama na kumwacha anayestahili lawama hizo!
Unamsifu Dr Faustine Ndungulile kwa msimamo wake, hujui kilichomtokea kwa kuwa kinyume na mawazo ya huyo unayemkingia lawama?
Kwani yeye huwezi kumsihi aondoke ili nchi ipone?
Unajua maana ya waziri mwenye dhamana?Sasa kama ni janga la korona, linaingilianaje na kufukuzwa kwa mawaziriii?? Acha uzwazwa wa chuki binafsi
Hakuna chochote alichopevuka, yupo vile vile toka mwanzo.Mkuu chagu wa malunde akili yako imepevuka kuliko johnthebaptist ama kweli dunia inakwenda kasi.
Umeuliza na kuambiwa mawaziri hawakushauri?🤣😂😂 Misimamo huko nyuma ina tatizo?🤣😂🤣.
Waziri hana mamlaka juu ya rais lakini anayo mamlaka ya kutoa ushauri tena hii ni kwa mujibu wa katiba.
Tumia common sense.
Kila siku huwa na kuambia wewe akili yako ni -0.Umeuliza na kuambiwa mawaziri hawakushauri?
Kama walishauri wakapuuzwa, na kupewa masharti ya kusimamia waliyoagizwa kuyafanya, bado huoni kwamba umejitia upofu mwenyewe, na sio kutaka kuueneza kwa wengine?
Kwahiyo wao ndiowameleta korona?? Hujui chochoteUnajua maana ya waziri mwenye dhamana?
🙏Kwahiyo wao ndiowameleta korona?? Hujui chochote
Inawezekana hujui, lakini huyu unayemsifia kwa kubadilika, hutamsikia akimsema huyo Katibu Mkuu, kama asivyoweza kuelekeza lawama zake kwa mhusika mkuu wa yote haya yanayotokea sasa hivi, badala yake anatafuta njia za pembeni kumkingia lawama anazostahiri kupewa.Hongera kwa Mara nyingine tena chagu wa malunde kwa kuwa mkweli. Mimi ni mkosoaji wako mkuu katika mambo mengi lakini unaposimamia ukweli lazima nikupe heko zako.
Kweli Katibu Mkuu Prof Mchembe ndiyo chanzo cha tatizo. Yeye ndiye aliyepeleka sampuli za oil chafu na mapapai kule National Health Lab.
wa yote haya
Ni ajabu wasomi wa hali ya juu wanasaliti usomi wao kumfurahisha Meko
"Kujifukiza" ndio maagizo waliyopewa kuyatekeleza na mteuzi wao. Wanaagizwa kusimamia kazi hiyo.Kila siku huwa na kuambia wewe akili yako ni -0.
Yaani mtaalamu uliesomea tiba unamshauri mtu kuwa kujifukiza hakuwezi kufika ndani ya mapafu na kuua corona virus, anakataa na wewe unakuja kudemonstrate namna ya kujifukiza!
Naishia hapo maana nakujua.
Ahaaa. Tumia akili dogo."Kujifukiza" ndio maagizo waliyopewa kuyatekeleza na mteuzi wao. Wanaagizwa kusimamia kazi hiyo.
Unatafuta kunitoa kwenye kukupa vidonge stahiki kwa hayo mengine unayoingiza humo, lakini leo sikuachii.
Uzuri wake na inawachukua makada kina nyinyisi alishasema mchukue tahadhari ama hukuskia? hii nchi bana sjui tutaendelea lini, afya ni ya kwako unasubiria serikali????? ndo tumefikia apa kama nchi
Acha kuleta unafiki kwenye jukwaa hili.Ahaaa. Tumia akili dogo.
So what?Acha kuleta unafiki kwenye jukwaa hili.
Kuna watu wenye uelewa mkubwa zaidi kuhusu mambo haya kuliko unavyodhani wewe.
Huna uwezo wa kuhadaa watu hapa.
It's good you got the message, loud and clear!So what?
Message gani?😂😅It's good you got the message, loud and clear!
That you are deflecting blame to the wrong people.Message gani?😂😅
Tatizo la wabongo wakijua kimombo cha kuombea maji. Unajua wajibu wa waziri mwenye dhamana?That you are deflecting blame to the wrong people.
Direct your blame to where it rightfully belongs. Why is it difficult for you to do that?