Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

si alishasema mchukue tahadhari ama hukuskia? hii nchi bana sjui tutaendelea lini, afya ni ya kwako unasubiria serikali????? ndo tumefikia apa kama nchi
Madiwani walichukua tahadhali wakavaa barakoa kwenye mkutano huko Kilimanjaro, kiongozi mteule wa raisi akawaamuru wazifue barakoa au watoke kwenye mkutano. Madiwani wakavua barakoa. Taarifa zilimfikia aliyeteua, hakuchuchua hatua. Kama hawa madiwani wa CCM, walikwamishwa kuchukua tahadhali, raia wa kawaida wataweza? Kilangila.
 
Kati ya watu wa hovyo, wewe ni mmoja wapo.

Nasema hivyo kwa sababu misimamo yako uliyoionyesha humu JF tokea huko nyuma inajulikana.

Kwa nini sasa uwatake watu ambao hawana mamlaka yoyote juu ya huyo unayesema wanamshauri, ndio uwabebeshe lawama na kumwacha anayestahili lawama hizo!

Unamsifu Dr Faustine Ndungulile kwa msimamo wake, hujui kilichomtokea kwa kuwa kinyume na mawazo ya huyo unayemkingia lawama?

Kwani yeye huwezi kumsihi aondoke ili nchi ipone?
🤣😂😂 Misimamo huko nyuma ina tatizo?🤣😂🤣.

Waziri hana mamlaka juu ya rais lakini anayo mamlaka ya kutoa ushauri tena hii ni kwa mujibu wa katiba.

Tumia common sense.
 
Mkuu chagu wa malunde akili yako imepevuka kuliko johnthebaptist ama kweli dunia inakwenda kasi.
Hakuna chochote alichopevuka, yupo vile vile toka mwanzo.

Yeye ugonjwa wake hasa upo kwa mtu, huyo anayemtetea tokea mwanzo.

Tofauti yake na huyo mwingine, huyo wa pili yupo kwenye chama zaidi ya kumtetea mtu mmoja kama huyu Chagu wa malunde.

Ninaweza kusema, huyu ni ukabila zaidi ndio unaomwendesha.

Mradi tu mtu wake na yeye wapo pamoja, basi hiyo ndio sifa inayomwendesha asione mengine yoyote juu ya huyo mtu wake.
 
🤣😂😂 Misimamo huko nyuma ina tatizo?🤣😂🤣.

Waziri hana mamlaka juu ya rais lakini anayo mamlaka ya kutoa ushauri tena hii ni kwa mujibu wa katiba.

Tumia common sense.
Umeuliza na kuambiwa mawaziri hawakushauri?

Kama walishauri wakapuuzwa, na kupewa masharti ya kusimamia waliyoagizwa kuyafanya, bado huoni kwamba umejitia upofu mwenyewe, na sio kutaka kuueneza kwa wengine?
 
Kila siku huwa na kuambia wewe akili yako ni -0.

Yaani mtaalamu uliesomea tiba unamshauri mtu kuwa kujifukiza hakuwezi kufika ndani ya mapafu na kuua corona virus, anakataa na wewe unakuja kudemonstrate namna ya kujifukiza!

Naishia hapo maana nakujua.
 
Hongera kwa Mara nyingine tena chagu wa malunde kwa kuwa mkweli. Mimi ni mkosoaji wako mkuu katika mambo mengi lakini unaposimamia ukweli lazima nikupe heko zako.

Kweli Katibu Mkuu Prof Mchembe ndiyo chanzo cha tatizo. Yeye ndiye aliyepeleka sampuli za oil chafu na mapapai kule National Health Lab.
wa yote haya
Ni ajabu wasomi wa hali ya juu wanasaliti usomi wao kumfurahisha Meko
Inawezekana hujui, lakini huyu unayemsifia kwa kubadilika, hutamsikia akimsema huyo Katibu Mkuu, kama asivyoweza kuelekeza lawama zake kwa mhusika mkuu wa yote haya yanayotokea sasa hivi, badala yake anatafuta njia za pembeni kumkingia lawama anazostahiri kupewa.
 
Kila siku huwa na kuambia wewe akili yako ni -0.

Yaani mtaalamu uliesomea tiba unamshauri mtu kuwa kujifukiza hakuwezi kufika ndani ya mapafu na kuua corona virus, anakataa na wewe unakuja kudemonstrate namna ya kujifukiza!

Naishia hapo maana nakujua.
"Kujifukiza" ndio maagizo waliyopewa kuyatekeleza na mteuzi wao. Wanaagizwa kusimamia kazi hiyo.

Unatafuta kunitoa kwenye kukupa vidonge stahiki kwa hayo mengine unayoingiza humo, lakini leo sikuachii.
 
Ahaaa. Tumia akili dogo.
 
si alishasema mchukue tahadhari ama hukuskia? hii nchi bana sjui tutaendelea lini, afya ni ya kwako unasubiria serikali????? ndo tumefikia apa kama nchi
Uzuri wake na inawachukua makada kina nyinyi
 
Mawazo yenu ni mabarakoa hamna jipya mnawaza tu kununua dawa na chanjo za Wazungu,Mmekosa uzalendo nyie wasaliti wa taifa na vibaraka na makuwadi wa mabeberu
 
That you are deflecting blame to the wrong people.

Direct your blame to where it rightfully belongs. Why is it difficult for you to do that?
Tatizo la wabongo wakijua kimombo cha kuombea maji. Unajua wajibu wa waziri mwenye dhamana?
 
Back
Top Bottom