Tutamkumbuka huyu dada
AiseeITASHANGAZA DUNIA KUONA MPAKA SASA CHAMA KINACHOIJIITATA CHA KIDEMOCRASIA KINAKUWA NA MWENYEKITI WA KUDUMU ZAIDI YA MIAKA 20 HALAFU WANACHAMA WAKE HAWAKOSOI CHOCHOTE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutamkumbuka huyu dada
AiseeITASHANGAZA DUNIA KUONA MPAKA SASA CHAMA KINACHOIJIITATA CHA KIDEMOCRASIA KINAKUWA NA MWENYEKITI WA KUDUMU ZAIDI YA MIAKA 20 HALAFU WANACHAMA WAKE HAWAKOSOI CHOCHOTE.
Wakati wa vita unapaswa kuwa kitu kimoja.vita ya uchumi kubwa kikosa umoja,tunatoa nafasi maadui kuwa winda viongozi wetu, ile biashara yao vaccine iendee. Biashara ya glove,ilidona,sanitizer ikadoda, barakoa ikadoda,dawa ikadoda.sasa ni biashara ya chanjo mungu walinde viongozi wetu
Napendekeza utimuliwe ccm , sera ya chama ni nyungu wewe unataka kuleta mambo ya mabeberu hapa ?Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.
Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?
Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
lengo kuu la kusoma Russia ni masuala ya maofisa kipenyo , huo udaktari ulikuwa ni zuga tuMollel ni Dentist, hawezi kujua masuala ya pneumonia. Mwenzake ni MD Russia, hana shule. Sijui wanaosoma Udaktari Urusi huwa wanasoma vitu gani.
Ni kawaida ya kenge ili ajue ameumia lazima damu zimtoke masikioni
Wewe unaelewa nini ? Mpaka ubishane na mimi?Ningekuelewa kama ni 'spelling' tu, lakini hata matumizi ya neno hujui?
Fitina kwangu mwiko,nitasema kweli daima.Napendekeza utimuliwe ccm , sera ya chama ni nyungu wewe unataka kuleta mambo ya mabeberu hapa ?
Wewe ndiye kabisa unafaa nikutupe kwenye dustbinnadhan unafaa kuwekwa pemben maana hauna cha maaana unachoonngea
Hivi we dogo una general knoweledge ya kubishana na mimi juu ya suala lolote? Au unatafuta umaarufu?Ningekuelewa kama ni 'spelling' tu, lakini hata matumizi ya neno hujui?
Kiswahili utajulia wapi?Wewe unaelewa nini ? Mpaka ubishane na mimi?
Tuliza mshono wewe upate kuponaHivi we dogo una general knoweledge ya kubishana na mimi juu ya suala lolote? Au unatafuta umaarufu?
Nini tena,mbona unakurupuka?Tuliza mshono wewe upate kupona
Huyu Mungu atamfukuza wala tusisumbuke ni swala la mudaHivi nyungu inasaidia? Kama haisaidii waziri wa Afya na wizara yake wawe held accountable for misleading the nation, then waweke proper guidelines za kufuata kama nchi nyingine.
Tuliza kidonda hichoNini tena,mbona unakurupuka?
Kipi?Tuliza kidonda hicho
TulizaKipi?
Eeenh, ninakukandamiza sana!Hivi we dogo una general knoweledge ya kubishana na mimi juu ya suala lolote? Au unatafuta umaarufu?