Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mbona unajipa Stress Mwenyewe..Bado ninataka kujua katika kuondoka kwenye shuhuli au matukio yakiserikali mfano kuzima mwenge,sherehe za uhuru nk je ninani anaanza katiya waziri mkuu na spika?
Hapo ndio itajulikana nani mkubwa
Rais wa Zanzibar yuko Chini ya waziri Mkuu kikatiba1. Rais wa JMT
2. Makamu wa Rais
3. Raid wa Zanzibar
4. Waziri Mkuu
Na Pia wanaweza kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu na wakamtoa Kwenye Kiti chake wakaweka wanaemkubali wao..Kuongeza, spika na bunge lake waweza kumuondoa Rais madarakani.
Hata hivyo, katika fikra za wabunge kuomba badala ya kuitaka serikali kufanya au kutimiza wajibu wake kwa wananchi, changamoto ni kubwa.
NeverRais wa Zanzibar yuko Chini ya waziri Mkuu kikatiba
Una uhakika? Lete mistari.Mkubwa wake ni Spika wa Bunge.
Huyu ndio mkubwa, wengine wote ni sawa tu.Allahu Akbar.
Si tumesema kuwa hii KATIBA HAIFAI, itupwe jalalani. Sasa tutanukuu wapi?Hadi page ya nne sijaona aliyenukuu Katiba kuhusu hiyo protokali ya uongozi. Basi sawa ngoja nimalizie kuvuna mahindi
Kwa Mujibu wa Katiba Serkali Ya JMTNever
Pitia Comment zangu zote nimenukuu mahali pote nilipochangia na Kutoa HojaHadi page ya nne sijaona aliyenukuu Katiba kuhusu hiyo protokali ya uongozi. Basi sawa ngoja nimalizie kuvuna mahindi
Ukuu wa kiongozi unategemea aina ya shughuli inayofanyika:Hoja huo ukubwa unatokana na Nini!??
Mihimili ipo mitatu
1. Bunge
2. Mahakama
3. Utawala.
Sasa kati ya hiyo mihimili mitatu Waziri Mkuu anaongoza upi??
Waziri Mkuu ni kiongozi Mkuu katika muhimili wa Serikali lakini Spika ni kiongozi Mkuu katika Bunge.Ukubwa wao unatofautiana na katika utendaji na uwajibikaji wao kwenye majukumu yao ya kila siku.Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge.
Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
Bibi tupo kwenye siasa,Mungu hafananishwi na chochote.Mkubwa Mungu.
Linapokuja swala la mamlaka waziri anatamba nchi nzima.
Linapokuja swala la muhimili unaotafutia hela.mihimili mingine waziri anatamba over mihimili mingine.
Linapokuja swala la nani anaweza kukalia kiti cha uraisi kabla ya mwenzake endapo raisi atakoma kukalia kiti kwa sababu mbalinbali SPEAKER atamtangulia waziri mkuu.
Kama shughuli inaihusu serikali lazima itifaki ya kiserikali ifuatwe...Mkuu mna ugomvi?
"Nakubaliana na weweKama shughuli inaihusu serikali lazima itifaki ya kiserikali ifuatwe...
1.Rais
2.Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
Hao 3 ndiyo maboss wa huo mhimili.
Ikitokea namba 1 na 2 hawapo nchini anayekalia kiti ni PM kwa katiba yetu ya sasa.
Zamani ilikuwa Spika kisha Jaji mkuu. Leo hiyo haipo kwa kuwa ni mihimili isiyo ya serikali, ni sahihi kabisa.
Sasa Boss wa wote hapo ni nani?
Bila shaka yoyote ni Rais.
M
Sizani aisee, spika anaonekana bado bint kabisa wakati PM anakaribia kustaafuspika ni mkubwa kuliko waziri mkuu
Nimekuelewa kidogoJibu Ni simple Tu mkuu!
Waziri Mkuu Ni Mmoja wa Viongozi wakuu wa Serikali "Excutive" nahisi Yuko Rank ya Tatu baada ya Rais,Makamu anafata yeye..
Kwakuwa Rais Haingii mara kwa Mara Bungeni "Japo ni Mjumbe wa Bunge".. Basi Kiongozi anayebaki Bungeni Ambaye ni wa serkali ni Waziri Mkuu..
Kwahyo waziri Mkuu Ndio kiongozi Tena wa Shughuli za Serkali Bungeni...Ikiwemo Kujibu maswali na Kuwajibika kwa Serkali wawapo Bungeni....
Japo Kiongozi wa Bunge ni Spika..
Sasa Kiprotokali kama Shughuli Itafanyika Inahusu Bunge Bhasi Spika Huwa Ndiyo Kiongozi mkuu na atashughulika kwa 100%..
Kwa mfano Ikitkea Mbunge kapata shida au kafariki au kumbukizi ya Mbunge Bhasi moja kwa moja utamwona Spika akiwa kiongozi..
Ila ikitokea Maafa au Chochote kinachohusu Serikali bhasi Waziri Mkuu ndyo kiongozi na Mwezeshaji wa shughuli hizo..
Sijui kama umenielewa?