ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

Ukubwa wa Spika ni ndani ya lile jengo pale dodoma.

akitoa miguu yake tu pale huku Nnje eneo lote la Nchi ni la WAZIRI MKUU.

WAZIRI MKUU sio mwenzako ni cheo kikubwa sana hicho sio cha kawaida.

Kina Mamlaka makubwa kuliko SPIKA.
Waziri Mkuu Katiba inamtaja kuwa ni msimamizi Wa serikali bungeni. Huko nje ni kwa kuwa CCM unampa nafasi isiyo yake.
 
Akili kubwa zinaongelea maendeleo,
Akili za kawaida zinaongelea matukio,
Akili mbovu (kama zako) zinaongelea watu.
Maendeleo na matukio huletwa na watu. Ivo huwezi kujadili maendeleo au matukio bila ya kujadili watu.
Bila Mwenyezi mungu wasingepata nyadhifa hizo, kama unabisha kawaulize.
Hii ni mada nyingine anzisha ijadiliwe.

Wale wasioamini kuwa kuna Mungu ukisema vyeo hutoka kwa Mungu watakushangaa.

Una undugu na kejeli au Mzee majambo???
 
Wakikujibu usisahau pia kuwauliza kipindi cha Magufuli Makonda na Makamu wa rais nani alikua ni boss, halafu pia uwaulize kati ya waziri mkuu na katibu mwenezi wa ccm nani ni boss wa mwenzie... Halafu pia waulize job description ya chawa...
 
Maendeleo na matukio huletwa na watu. Ivo huwezi kujadili maendeleo au matukio bila ya kujadili watu.

Hii ni mada nyingine anzisha ijadiliwe.

Wale wasioamini kuwa kuna Mungu ukisema vyeo hutoka kwa Mungu watakushangaa.

Una undugu na kejeli au Mzee majambo???
Hivi wewe ukishajuwa ni nani mkubwa hapo kiitifaki inakusaidia nini?

Hivi hizo shule mnaenda kusomea ujinga?
 
Ushakoroga maji na mafuta hapa!

Waziri mkuu ni nambari 3 hapa TZ, hakuna cha mihimili wala protokali.

Kichama, waziri mkuu ndio mwenyekiti wa wabunge wote wa chama, speaker akiwa mmojawapo.

Kama swali lingekuwa limelenga worldwide, pengine kuna nchi jibu lingekuwa tofauti!
Hapana Mzee spika na Waziri Mkuu ni vitu Viwili tofauti kabisa..

Tukizungumzia Ukuu kwenye Muhimili Bhasi mimi ningelinganisha Spika na Rais na Jaji Mkuu...

Hii Mihimili Hutegemeana na Hufanya kazi pamoja kwa ukaribu kabisa..

Na ndo maana Bungeni kuna mwakilishi wa Muhimili wa Mahakama ambaye ni Mwanasheria Mkuu na mwakilishi wa Serkali ambaye ni Waziri Mkuu...
Serkalini Kuna waziri Mkuu...

So Spika anao uwezo wa Kumuamrisha Waziri Mkuu awapo Bungeni na kumuwajibisha Pia panapo Stahili..

Ila Waziri Mkuu hana Uwezo wa Kumuwajibisha Spika kwa namna yoyote ile..
 
Kimsingi anayerithi kiti cha urais baada ya raisi na makamu wake kupoteza nafasi zao ndiye mkubwa...

Na bila shaka ni Waziri Mkuu.
 
Hivi wewe ukishajuwa ni nani mkubwa hapo kiitifaki inakusaidia nini?

Hivi hizo shule mnaenda kusomea ujinga?
Kwani Mimi ndiyo nimeuliza swali?

Wewe umeiparamia mada bila hata ya kujua nani kauliza swali.

Wewe kumbe ndiyo ulisomea ujinga.
 
Back
Top Bottom