ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

Spika wa Bunge hata nchi zingine ni mtu mkubwa mno, ila kwa Bongo Spika ni Chawa tu.
 
Sasa ulitaka Rais wa Zanzibar aongoze Zanzibar na Tanzania kwa wakati mmoja? Subiri tarehe 26 April uangalie nani ataingia kabla ya mwingine kwenye sherehe
 
Mwanasheria Mkuu wa serikali yupo upande wa executive hayupo upande wa judiciary. Hapo umechanganya madesa kidogo.
 
Mwanasheria Mkuu wa serikali yupo upande wa executive hayupo upande wa judiciary. Hapo umechanganya madesa kidogo.
Yeah inawezekana mkuu Maara anateuliwa na rais kwa Mujibu wa Katiba Ibara ya 59 kuanzia Ibara ndogo ya 1
 
Spika wa Bunge ni mkubwa kuliko Waziri Mkuu. Ila hii ya Betina kuwa mkubwa kwa Kassim kiprotokali siikubali. Huyu Betina ana nini Cha maana?

Pius Msekwa kuwa mkubwa kwa Cleopa Msuya sawa, ila siyo Betina kwa Kassim (huo ni udhalilishaji). Betina kichwa box, kichwa kama mbuni.
 
Waziri mkuu ndio mkubwa kuliko spika wa bunge kazi ya spika wa bunge ni kusimamia na kusikiliza hoja za wabunge lakini waziri mkuu ni msemaji mkuu wa serikali
 
Spika kwa TZ ni a mere chairperson wa vikao vya bunge. Waziri mkuu ni mkubwaaa sana in Bashites voice!
 
Spika ni mkuvbwa sababu anadimamia mhimili, jaj mkuu ni mkubwa sababu anadimamia mhimili, rais ni mkubwa sababu anadimamia mhimili, hawa wote wapo katika level moja, ila mmoja huwateua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…