Uchaguzi 2020 Itokee Lissu akashinda Urais, akakupa nafasi ya kutoa pendekezo, ni kitu gani alichofanya Magufuli utamwomba akiondoe mara moja?

suma jkt warudishwe kambini kuendelea kufanya kazi za kijeshi
 
Chuki Mbaya sana
Na Bahati hiyo Hatoipata Ataishia kutumika tu kama Kaptula
Mkuu zungumza kidogo kuhusu haya
1.Fao la kujitoa
2.Kikokoto
3.Nyongeza za mishahara
4.Malipo ya 15% bodi ya mikopo
5.Mikopo kwa wanafunzi
 

Yote yasiyofaa automatic hujiondoa na kujifuta yenyewe kwa sababu hayafai..

Kutofaa kwa kitu siyo lazima uambiwe hapa. Sio lazima utamkiwe na mtu..

Chakula kilichoharibika, kilichooza unahitaji kuambiwa na mtu kuwa chakula hiki kimeoza?

Jambo moja kubwa ambalo ndilo jibu la jumla la hoja yako ni hili..

Tundu Lissu kasema na ndivyo itakavyokuwa, kwamba, mara atakapomaliza kura kiapo, jambo muhimu na la kwanza ni kuanza mchakato wa kuufanyia "overhauling" mifumo yetu ya kiutawala ambao ndiyo kikwazo kikubwa cha maendeleo ya watu ya haraka ktk nchi yetu..

Hili Magufuli na CCM wameshindwa na hawatakuja kuweza hata wapewe miaka 100 tena..!!
 
Wewe ndio unabwabwaja kule jpm analala na viatu kila siku.
 
Marejesho ya mkopo wa elimu ya juu. Afute sheria inayotaka wanufaika wa mkopo wakatwe 15% toka kwenye mishahara yao na irudi 8% ya mwanzo au chini zaidi.
 
Auze ndege zibaki nne tu, drimlaina, boingi na bombadia mbili.
 
Umewauliza swali gumu sana Vibendera
Na ngojea uone kama kuna mwenye jambo la Maana toafuti na Ukibendera wao tu
Yaani Magufuli Ashindwe na Lisu kabisa Hizo ni Ndoto za Kichaa
Wewe zombie unajifariji, Magufuri mwenyewe anajua kwamba anaweza kushindwa, fuatilia kwa makini kauli anazozitoa, sasa nyie viroboto ndio mmekomaa kwamba hawezi kushindwa, mngekaa kimya mkasubiri siku ya kutolewa matokeo ya uchaguzi
 
Huo ni uzembe wa mgombea ubunge na madiwani wake wanashidwa hata kukodi gari la mtangazo hata siku mbili kabla ya mkutano.
 
Lissu amteue magufuli kuwa waziri wa mkuu wa wilaya ya chato
 
Ndege zote ziuzwe nakama kungekuwa nauwezokano alipe pesa yauwanja chato ilinguvu zote ziende kwenye umeme na rell pia wavuvi walipwe mali zao uonezi mkubwa walifanyiwa bila kusahau ajira na katiba mpya asante
 
Huyo Lissu si alikuja JF last week akasema tuandike maswali atajibu? Kilichomshinda nn hadi Leo kaingia mitini. Ajibu kwanza maswali yetu
 
Kama ingekuwa ni mtihani tungeshafeli wengi. Jamaa kasema " vya kuondoa". Sio kurekebisha wala kuongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…