Fundisanifu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 526
- 641
Mkianza ku-imagine Hashim Rungwe ndo raisi, mnishtue na mm nije kuchangia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea Kuotayeye anapofunga wenzie kwa uhujumu uchumi kwa hila anaona raha. Wako wapi kina Saanane,Mawazo na Azory. ana muda nao? Kwanza hata hapo nimemuone huruma anatakiwa afungwe maisha au life sentence
Lissu anapigania haki na kukataa watu kufanywa manamba kama mnavyofanywa ninyi mitandaoni.Endelea Kuota
Hiyo namba moja, inaonesha wazi kwamba wewe sio "machinga" au mjasiriamali.1.Vitambulisho vya mjasiriamali
2.Ushuru wa mazao
3.Vyama vya ushirika
Hauna hojaWengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.
Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
Wasiojulikana kwanza. Hawa wametukalia vibaya kama nchi.Wengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.
Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
HehheeeAmfunge Magufuli jela miaka 50 halafu baada ya mwaka ampe msamaha wa Rais iwe fundisho
Lissu mwenyewe Manamba wa Mababeru, Leo hii anachukia watu kufanywa manamba?Lissu anapigania haki na kukataa watu kufanywa manamba kama mnavyofanywa ninyi mitandaoni.