Itoshe kusema Arusha ndio mkoa unaoongoza kuwa na vijana wavivu sana

Mashoga ni wapo mob yani ni kuwapakua tu.
 
Huu mkoa vijana wavivu wanaongezeka kwa kasi sana, wanakuja wageni wanafanya kazi wanaondoka na mpunga. Mkoa huu kijana wa kiume anawaza kupata mwanamke ama bibi wa kizungu kutwa kufuga rasta akiamini utamtoa.

Ukitaka kuamini hilo nenda sehemu za starehe kisha akatishe mzungu, ukienda sehemu kama The Hub huwa vijana wanakaa chooni kabisa kuwinda wadada wa kizungu!

Ukija kwa wasichana wa Arusha ndio balaa, dating app zote wapo wanajiuza kwa kigezo cha kufanya modeling. Unakuta kasichana ka miaka 20 kapo na babu wa miaka 75! Hata Zanzibar 50% ya wasichana wanaojiuza ni wanatokea Arusha.

Fantasy na story za vijiweni
 
Ila ni muda huonekani jukwaani sasa hivi ni wageni tu Jf wale wa zamani wamepungua sana, waliosalia ni member wachache.
Nahisi wengi pia tunajaribu kucatch up na aina ya nyuzi za siku hizi
 
Mikoa Arusha na Kilimanjaro sio mikoa ya kuishi binadamu

USSR
Mkoba wa uchawi tulioachiwa na yule baba mwenye chogo utawamaliza ndugu zako bure... Hapa sio kilingeni
 
Huu uzi ni wa chuki mno. Arusha na Moshi kuna vijana wapiga kazi kwa akili na maarifa mengi sana ingawa pia kuna uwepo wa wapumbavu kama ilivyo mikoa mingine. Kimsingi hiyo mikoa ilishapiga hatua kitambo sana ndo maana chuki dhidi yao haziishi. Vijana wengi waliotoka Arusha, Kilimanjaro na hata Manyara wako mbele sana ya muda kiasi kwamba sio rahisi kwenda sawa na vijana waliotoka mikoa mingine hasa wazaliwa wa pwani na CHATO. Washindani wa vijana wa Arusha wako Nairobi. Kwa hapa Tanzania hakuna.

Kuhusu kula vibibi vya kizungu huwa ni mbinu tu ya vijana kujipatia mitaji ili kutimiza ndoto zao. Kutafuna kibibi cha kizungu sio uhalifu. Kuna watu kibao wengine sasa hivi ni wazee walijipatia utajiri kupitia hao bibi. Ikumbukwe kupata hela ni hatua ya kwanza ila kuzimiliki hadi zikufanye kuwa tajiri ndo jambo limewashinda mikoa mingine. Hata kina dada wa Arusha pia baadhi yao wamepata utajiri kupitia papuchi. Na ni matajiri kwelikweli. Kwa kifupi watu wa Arusha wanaweza kumiliki pesa ndo maana chuki dhidi yao haziishi.
Umemaliza.. Kwamba mtaji utafutwe kwa namna yeyote ile
 
Huu mkoa vijana wavivu wanaongezeka kwa kasi sana, wanakuja wageni wanafanya kazi wanaondoka na mpunga. Mkoa huu kijana wa kiume anawaza kupata mwanamke ama bibi wa kizungu kutwa kufuga rasta akiamini utamtoa.

Ukitaka kuamini hilo nenda sehemu za starehe kisha akatishe mzungu, ukienda sehemu kama The Hub huwa vijana wanakaa chooni kabisa kuwinda wadada wa kizungu!

Ukija kwa wasichana wa Arusha ndio balaa, dating app zote wapo wanajiuza kwa kigezo cha kufanya modeling. Unakuta kasichana ka miaka 20 kapo na babu wa miaka 75! Hata Zanzibar 50% ya wasichana wanaojiuza ni wanatokea Arusha.
Duh
 
Huu uzi ni wa chuki mno. Arusha na Moshi kuna vijana wapiga kazi kwa akili na maarifa mengi sana ingawa pia kuna uwepo wa wapumbavu kama ilivyo mikoa mingine. Kimsingi hiyo mikoa ilishapiga hatua kitambo sana ndo maana chuki dhidi yao haziishi. Vijana wengi waliotoka Arusha, Kilimanjaro na hata Manyara wako mbele sana ya muda kiasi kwamba sio rahisi kwenda sawa na vijana waliotoka mikoa mingine hasa wazaliwa wa pwani na CHATO. Washindani wa vijana wa Arusha wako Nairobi. Kwa hapa Tanzania hakuna.

Kuhusu kula vibibi vya kizungu huwa ni mbinu tu ya vijana kujipatia mitaji ili kutimiza ndoto zao. Kutafuna kibibi cha kizungu sio uhalifu. Kuna watu kibao wengine sasa hivi ni wazee walijipatia utajiri kupitia hao bibi. Ikumbukwe kupata hela ni hatua ya kwanza ila kuzimiliki hadi zikufanye kuwa tajiri ndo jambo limewashinda mikoa mingine. Hata kina dada wa Arusha pia baadhi yao wamepata utajiri kupitia papuchi. Na ni matajiri kwelikweli. Kwa kifupi watu wa Arusha wanaweza kumiliki pesa ndo maana chuki dhidi yao haziishi.
Wavivu hawawezi kuishi Arusha.
 
Back
Top Bottom