Itoshe kusema Arusha ndio mkoa unaoongoza kuwa na vijana wavivu sana

Itoshe kusema Arusha ndio mkoa unaoongoza kuwa na vijana wavivu sana

Yaani hili taifa watawala wameshindwa ku-provide opportunities kwa vijana alafu wame-wabrainwash kwamba ugumu wa maisha yao ni uvivu wao....

Amini nakwambia vijana wa sasa ni hardworkers kuliko wazee wa sasa ujana wao (Kipindi kile watu walikuwa wanachagua kazi; vitu kama ualimu, polisi kuwa nurse, usafi, mama lishe n.k. watu walikuwa hawafanyi) leo hii watu wanahonga hata wakawe wajeda au any of the above
 
Kuhusu wadada wa chuga kujiuza zenji naunga mkono 100% coz nimeona na ushaidi ninao,,nawajua karibu watano nilikutana nao Zanzibar
Kama hujaishi Arusha ni rahisi sana kudhani wadada wa singida nao ni watu wa Arusha
Maana lafudhi ya watu Arusha,Moshi,Manyara,singida na kondoa inafanana sana hadi uwe umekaa ukanda huo ndo mtu akiongea utajua kuwa huyu ni wa Arusha,Moshi,singida au wapi
Vinginevyo utaendelea kudhani kila mmoja katokea arusha
Lakin pia umalaya ni tabia ya mtu haihusiani na mkoa Wala nini
 
Ila ukilinganisha Ar na Tanga ni tofaiti nina kijana wa kazi ametoka Tanga ni mvivu kichizi anaamka saa 4 muda wote amapenda kula na kulala ndo anatoka Tanga
 
Kama hujaishi Arusha ni rahisi sana kudhani wadada wa singida nao ni watu wa Arusha
Maana lafudhi ya watu Arusha,Moshi,Manyara,singida na kondoa inafanana sana hadi uwe umekaa ukanda huo ndo utajua kuwa huyu ni wa Arusha,Moshi,singida au wapi
Vinginevyo utaendelea kudhani kila mmoja katokea arusha
Hapo umeniweka sawa,pia niliambiwa wanaotokea Singida huwa wanajitambulisha wanatoka Arusha
 
Mko so obsessed na maisha ya watu, yenu sijui mnayaishi saa ngapi.
 
Kama hujaishi Arusha ni rahisi sana kudhani wadada wa singida nao ni watu wa Arusha
Maana lafudhi ya watu Arusha,Moshi,Manyara,singida na kondoa inafanana sana hadi uwe umekaa ukanda huo ndo mtu akiongea utajua kuwa huyu ni wa Arusha,Moshi,singida au wapi
Vinginevyo utaendelea kudhani kila mmoja katokea arusha
Lakin pia umalaya ni tabia ya mtu haihusiani na mkoa Wala nini
Sure. Maana karibia wote wako na gold teeth
 
Hapo umeniweka sawa,pia niliambiwa wanaotokea Singida huwa wanajitambulisha wanatoka Arusha
Hapana bro mikoa karibu mi 5 ya kaskazini yote inaongea lafudhi moja kuna jinsi ya kuwatofautisha pindi wakiongea bila kujitambulisha Kuna namna ya matamshi ya maneno yao tu utagundua tu huyu ni wa singida,au Manyara,au kondoa, au Kilimanjaro au arusha
Binafsi mimi nimeishi Arusha na baadhi ya mikoa tofaut tofaut ila watoto wa kike wengi wa Arusha wako chini ya uangalizi mzuri wa wazazi na kulelewa kwenye misingi ya dini , ukikutana Ni mkristo Ni mkristo kweli ukikutana na muislam ni muislam kweli na hiyo ndo kitu inawasaidia kutokujiingiza wengi katika biashara za umalaya

Japo wapo ambao kweli wanafanya umalaya lakini haijafikia kiwango hicho cha kuisema kuwa inaongoza hapana bro hapo utakua unawaonea tu
Mimi nimetokea kanda hiyo huwa nakutana na watu wengi wanaotoka singda,kondoa,Manyara,Arusha,moshi ila watu ambao hawawatambui huwa wanawaita wote hao Ni watu wa Arusha ila kwakua natambua lafudhi zao huwa najua kabisa huyu Ni wa wapi
 
Sure. Maana karibia wote wako na gold teeth
Ndo hapo sasa, jinsi navyopajua Arusha si dhani kama ni sawa kuutambulisha kuwa ni mkoa ambao watoto wa kike wengi Ni malaya hiyo siyo kweli, wako chini ya uangalizi wa wazazi na wanasimamiwa sana katika masomo ya shuleni na masomo ya dini aisee
Ndo maana hata mimba za utotoni siyo nying Arusha kwanza mtoto wa kike akipata mimba akiwa kwa wazazi ni bonge la aibu
Tofaut kabisa na uKanda kama Kanda ya ziwa mabint wa miaka 15 wengi tayari wamezalishwa
 
Mikoa Arusha na Kilimanjaro sio mikoa ya kuishi binadamu

USSR
Acha kuandika bila kuwa na Evidence ww' hiyo mikoa ndio inaongoza kwa utalii, mikutano ya kimataifa ...huko nje hii mikoa mingne haijulikani zaidi ya hiyo na Dar tu' unatokea wap ww?
 
Nmejaribu kutazama majirani tena vijana wenzangu....
Wasio na Degree ni wachache sana ambao baadhi wamefanya Diploma mbalimbali pia kuna wenye astashahada kutoka vyuo vidogodogo....
Wengi wamesoma Utalii na wanafahamu lugha za kigen kama Kifaransa na Kihisapaniola
Hakuna ambaye hajafika kidato cha nne kwa kweli.
Swala la ajira ni changamoto wengi wanaendesha bodaboda...sokoni ufugaji na kilimo...

Sasa najiuliza huo uvivu upo wapi?

Mimi sijawahi kuwaza hata kuwa na mzungu lakini napenda kufuga nywele.

Cha mwisho kila mwaka nina uhakika wa kukaa na wazungu angalau kwa siku 14....na hii ni uhakika, sasa ukinikuta nao unahisi nywele zangu nimewafugia wao.

Tafiti yako haina mashiko kiongozi.
 
Back
Top Bottom