Itoshe kusema Arusha ndio mkoa unaoongoza kuwa na vijana wavivu sana

Mashoga ni wapo mob yani ni kuwapakua tu.
Usithubutu rafiki kula kinyeo cha mwenzio,papuchi nyingi mno ndugu,ya nini utoke na harufu ya mavi kwa kujitakia [emoji57]yeyote anae ingiza dudu yake kwenye kinyeo hana tofauti na kinyesi na popote nzi watamfuata
 
Nakubali. Vijana wa zamani ndo hawa watuhumiwa wakuu wa ufisadi na mambo mengi sana ya hovyo. Ndo wameturithisha ishu za ajabu mno zinazodidimiza taifa.
 
Kuhusu wadada wa chuga kujiuza zenji naunga mkono 100% coz nimeona na ushaidi ninao,,nawajua karibu watano nilikutana nao Zanzibar
Wenye arusha yao wanabisha ama hawasafiri
Sasa hata uturuki wamejaa wadada wa Arusha
 
Tabora Jazz ndio viranja aiseeeeee
ha ha ha sema tabora fursa za watalii hamna njaa kali sana na vijana wanapambana ndio maana idadi ya boda boda ni sawa na baiskeli za kubeba abiria!!!
 
Kuna comment naitafuta, isipotajwa hiyo huu uzi ni batili, nipo nimekaa palee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uvivu ulianza mwambao wa pwani, wale wanaopenda kushinda vibarazani na vibarakashia
 
WE popoma sema mji wa Arusha siyo mkoa
 
Mi mwenyewe natamani sana kuondoka huu mkoa niende zangu Mwanza ni vile tu sijapata connection
 
Watu wa Arusha na Moshi kiasili ni watu wanaotafutaga sana hela. Huu utafiti wako sijajua umeufanya vipi japo inafahamika kua kwenye msafala wa mamba na kenge wamo
 
ebu tembelea mtwara,tanga,pemba na tanga,bila kusahau tabora alaf nipigie simu namba 27538
 
Watu wa Arusha na Moshi kiasili ni watu wanaotafutaga sana hela. Huu utafiti wako sijajua umeufanya vipi japo inafahamika kua kwenye msafala wa mamba na kenge wamo
Huyu mleta mada Ni kenge na mtu mjinga tu hajui kuwa tuko maporini tunasaka pesaa uatafiti wake amegemea chuki binafsi wa wanna wa arusha
 
Huyu mleta mada Ni kenge na mtu mjinga tu hajui kuwa tuko maporini tunasaka pesaa uatafiti wake amegemea chuki binafsi wa wanna wa arusha
Shida ni kua mtu akishaona kakikundi fulani ka watu kapo namna flani basi anajua jamii nzima ipo hivyo
 
Kwa hio unatuthibitishia huko ndio lango la ukahaba TZ. Mmeambukiza na ndugu zenu wanyiramba wanasambaa Tanzania yote kuhudumia kwenye bar na guest.
Tubuni
 
Nakuunga mkono hakuna vijana wavivu hii ni siasa leo ukienda kila mkoa hakuna kiwanda ambacho kinakosa wafanyakazi .

Ni wapi wametoa furs vijana hawjaenda?
 
Uvivu ulianza mwambao wa pwani, wale wanaopenda kushinda vibarazani na vibarakashia
Sio kweli hii ni inferiority complex uliyokuwa nayo wabara dhidi ya wapwani.

Huu ni utani ambao asili yake ni wadigo kuwagomea wazungu kufuata tamaduni zao kwa vile waliwakuta wadigo hata kusoma wanajua na pia wanajielewa so walikataa moja kwa moja.

Niambie mkoa gani wa pwani kuna kiwanda kinakosa wafanyakazi kwamba hawataki kazi? Nenda ukaone magofu na nenda soutg africa ukaone vijana wanavyopiga kazi 80% heach boys wa kwanza wanatokea mikoa ya pwani hawa hdo wamefungua milango kwa nyie washamba wa bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…